Recent content by Nyama Hatari

  1. Nyama Hatari

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Tafadhali naomba tutajie majina ya hao Wapigania haki za binadamu/Wapigania Uhuru maarufu wa Kiislamu ndani ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Mbona hata Unguja, yenye raia asilimia 90 waliyo Waislamu mapinduzi ya kuikomboa kutoka kwa Wamanga (na mabwana zao waliokuwa Waislamu wenzao) yalipangwa...
  2. Nyama Hatari

    Ufisadi Juu Ya Magari Ya Abiria!!!

    Jee, hii sheria inayodhibiti uagizaji magari yasiyozidi miaka 5 inahusu magari ya abiria pekee, au? Hebu anaye fahamu anieleweshe tafadhali. Thx
  3. Nyama Hatari

    Ufisadi Juu Ya Magari Ya Abiria!!!

    Kwa maoni yako unadhani kweli hiyo ndiyo sababu ya msingi ya serikali kupiga marufuku uingizaji wa magari ya abiria yaliyozidi miaka 5?
  4. Nyama Hatari

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Why would I want to insult your intelligence? The fact that you were able to fantasize up this kind of stuff shows what a smart fellow you really must be. By the way, does The TCAG have the requisite fire-power to back up their claims against the Government, au ndiyo yaleyale mambo ya Wakurya ya...
  5. Nyama Hatari

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Sahihisho: Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya Dola (i.e., "State") na siyo Serikali per se (i.e., Government).
  6. Nyama Hatari

    Unataka kusoma Canada?

    Hallo Peter, naona advice uliyotoa inaelemea kwa wale wanaotaka kusoma graduate degrees. Lakini kuna alternative nzuri kwa wanaotaka kusoma undergraduate programs kwenye vyuo vikuu vilivyomo ndani ya jimbo la Ontario. Kuna tovuti inafahamika kama COMPASS.105 ( The Ontario Universities'...
  7. Nyama Hatari

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Bora umewatolea uvivu mjomba. Hawa Waislamu wa Visiwani bwana vichwa ngumu kweli. Haya ndiyo matatizo ya elimu za madrasah na jadi ya kuhusudu Wamanga.
  8. Nyama Hatari

    Ughaibuni: Jaji akataa majina ya Kihuni!!!

    This doesn't come across as fair at all and smacks of double standards by Whitey. Heck, its okay for White folks to call themselves "Dick" and "Butt" but becomes a big-deal as soon as Blacks start giving their kids names like "Clitoria"! Whitey always want to impose their own cultural values on...
  9. Nyama Hatari

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Tafadhali ndugu usianze kutuboa tena na kum-name drop Shamhuna kwenye kila posting, sawa?
  10. Nyama Hatari

    Ughaibuni: Jaji akataa majina ya Kihuni!!!

    Please DunyaNi nGaybu! Please! :D
  11. Nyama Hatari

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Wewe kila kitu "Shamhuna hiki" "Shamhuna hivi" "Shamhuna vile". Au wewe ndiyo Shamhuna mwenyewe?? Unaboa sana aisee!
  12. Nyama Hatari

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    This is nothing but a pathetic attempt at seeking cheap thrills and stirring up unwarranted political controversy. Its obvious to everybody that you wrote up this so-called "excerpts" from a purported "7-pages letter to Kikwete" yourself and try to pass it off as some sort of manifesto from a...
  13. Nyama Hatari

    THI Yaibwaga NSSF Mahakamani

    Sorry, but the particular observation you've offered above appears to have played no part whatsoever in the considerations as to why the High Court ruled in favor of THI (at least as far as the contents of article are concerned). The decision is more likely based on a subtle technicality of...
Back
Top Bottom