Recent content by Nkutupa

  1. N

    Yupo wapi Bonta Maarifa?

    Ni Katibu wa Afya
  2. N

    Kuna mitihani ya maisha inawakuta watu na unaweza kuwaza hivi Mungu ananipima imani?

    Tafadhali sana naomba connection na huyo mgonjwa ili niweze mfikia huyo mzee aliyetoa hiyo dawa
  3. N

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Tafuta njia sahihi katika kumfahamu Mwenyezi kisha ufanye toba juu ya hili.
  4. N

    Gari ya wizi...

    Nenda na kadi ya gari ambayo inaonyesha registration number na chasis number, haswa kitengo cha interpol au kitengo kama hicho cha wizi wa magari. Kisha mkataba wa mauziano mmufanye kisheria mbele ya lawyer. Pia awe na file la particulars za kuingizia gari Nchini linaloonyesha proceedings zote
  5. N

    Wanaume ni mambo gani yanawakera kutoka kwa wanawake wakati wa Sex!

    Mademu zenu wa kisasa hao. Hawatumii maji wanatumia toilet paper na tissue. Hahaha hahah. Hawajui kuoga na kuweka mambo adimu ya udi, wanajua perfumes na choices kwao ni shida. Ukiwa na mwanamke anayeswali kila wakati, hasa hizi sala tano hizi, ah ni wasafi balaa
  6. N

    Uchomaji na uharibifu wa makanisa Israel unaofanywa na wayahudi dhidi ya wakristo wazidi kupamba moto

    Ukweli mtupu kaka. Tena na wengine wameshikama na Dini lakini wameshindwa kuuacha ubaguzi.
  7. N

    JamiiForums Usiku wa manane

    Usingizi njoo
  8. N

    KAHAMA: Zaidi ya wafanyakazi 1,300 wakosa ajira baada ya mgodi wa Buzwagi kufungwa rasmi

    Baadhi ya hao Wafanyakazi watauza nyumba zao kama kawaida ya wengi wao
  9. N

    Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    Sijui kama watalipa madeni yote, isije kuwa unadai mil5, unalipwa mil2
  10. N

    Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

    Super women 2: Mimi napishana na wewe kidogo. Nina save salary, af viposho posho na abcd ndo natumia. Pia na-save coins, for the kids lakini
  11. N

    Namna ya kupata mtoto wa kiume

    Kama mathalani ana mzunguko wa siku 40, . Utatoa kinyume, yaani 40-14=26. Hapo ina maana siku ya 26, ndo yai linatarajiwa kuwa litashuka. Wanaofahamu zaidi watatujuza
  12. N

    Hili group la damu linanitesa sana, naomba ushauri

    Group lako la damu halihusiani na maradhi yako.
  13. N

    Naomba ushauri wa kupata matibabu ya meno

    Lucas Sabuni. Kwa umri wako (Maana umesema unawajukuu, lazima utakuwa above 40+, ), na kwa hosp ulizopitia, nakushauri usiendelee kupoteza muda. Nenda Muhimbili kitengo cha meno moja kwa moja, ila nakushauri uwe na Bima ya Matibabu, hasa NHIF
Back
Top Bottom