Recent content by ndume

  1. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    1. TAMBUA Kuna app inayoitwa *telegram*, ambayo kuna magroup kama ya whatsapp. Ila magroup ya kule yanao uwezo wa kuingiza members zaidi ya 30,000. Fikiria watu zaidi ya 30,000 muwe ktk grp moja, alafu ww uwe unatafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Lazima upate. 2. CHAKUFANYA (i)Nenda...
  2. N

    Msaada katika kompyuta

    nili install upya na nikaformat partition
  3. N

    Msaada katika kompyuta

    nielekeze namna ya kucheki
  4. N

    Msaada katika kompyuta

    nimebadili window bado hilo tatizo lipo
  5. N

    Msaada katika kompyuta

    Kuna mtu nilimwachia kompyuta yangu aina ya lenovo kwa muda, lakini alikuwa afahamu matumizi vizuri akawa anawasha vizuri lakini kwenye kuzima kompyuta hiyo alikuwa anazima kwa kutumia sehemu ya kuwashia na kuzalisha tatizo lifuatalo:- kwa sasa kompyuta nikiwasha inawaka lakini aimalizi mpaka...
  6. N

    Jinsi ya kum block mtu asikupate kwenye mitandao ya simu

    hiyo 0000 ni security code ya simu kama imekataa maana yake hiyo siyo security code ya simu yako ichunguze security ya simu uliyoweka kama inakugomea jaribu 1234 kwa baadhi ya simu za nokia kifupi 0000 ni security code ya simu yako tafuta kutambua security code ya simu yako kwanza
  7. N

    Jinsi ya kum block mtu asikupate kwenye mitandao ya simu

    hiyo 0000 ni security code ya simu kama imekataa maana yake hiyo siyo security code ya simu yako ichunguze security ya simu uliyoweka kama inakugomea jaribu 1234 kwa baadhi ya simu za nokia kifupi 0000 ni security code ya simu yako tafuta kutambua security code ya simu yako kwanza
  8. N

    Kompyuta yangu ina tatizo la window

    usiongee kwa sababu unajisikia kompyuta ilinunuliwa nikampa dogo aende nayo chuo akafanya kama akaja ikiwa na bios password
  9. N

    Kompyuta yangu ina tatizo la window

    mimi mwenyewe nimejaribu kutoa bios password imegoma MIMI
  10. N

    Kompyuta yangu ina tatizo la window

    hp probook 6470b
  11. N

    Kompyuta yangu ina tatizo la window

    Habari za muda huu ndugu wadau kompyuta yangu ina tatizo la window inasemekana BIOS ina password ina sababisha kupiga window mara tatu tu. Baada ya hapo inakuwa inashindwa kuwa mpaka nitoe disc nipige kwa kutumia kompyuta nyingine. Naomba nisaidiwe namna ya ku unlock hiyo ili niweze kubadilisha...
  12. N

    nimekwama kwenye windows 8 msaada tafahali!!

    Nimejaribu kupiga window 8 kwenye kompyuta yangu aina ya toshiba lakini niki press f12 inawaka km kawaida nikipress f8 inatoka menu ya advanced boot option nifanyeje maana nimeshindwa kabisa kubadilisha window hiyo
Back
Top Bottom