Mijitu iliyofeli na kupata gpa ndogo inatoa motivation speech tu hahahahaha. Acheni kuwadanganya watoto wasisome. Mimi nilipata first class degree na wala haikuwa kazi ngumu. Ukiwa genius hiyo gpa wala sio kazi ngumu kabisa
Ila watanzania bwana. Kufungia video ya diamond isipigwe wanagurahia. Ila video zenye maudhui yale yale za wanamziki wa marekani zinapigwa mchana kutwa
Mkuu ukikuta saini yako kwenye nyaraka ambazo haukusaini wewe kwamfano za kuuza nyumba yako au shamba lako utaenda ukatulie na bibi yako muangalie movies tu bila kutia neno lolote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.