Recent content by MUNYAMAKWA

  1. M

    CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

    Namshauri Prof.Lipumba aachane na siasa arudi kwenye proffessional yake akitafuta kazi hawezi kosa nchi nyingi duniani zinataka watu wa aina hii ambao sisi watanzania tunawaona kama hawana mchango wowote katika nch i yetu.Una challenge capability ya Prof.Lipumba!!! kuna watu na viatu...
  2. M

    Tanzania haiishi vituko: Meli iliyozama haina Ofisi

    Meli kukosa ofisi!!!! hapa ni kuangushiana na magari tu hamna tena cha kulindana.Wasusika wasipoangushiwa gari(kuwajibishwa) serikali hamtaeleweka kwetu sisi walala hoi.KOVA,MSANGI mpo, scandles za kujitakia hizi hebu ngoja tupime hekima zenu katika hili
  3. M

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Ndiyo maana ukimsikia mtu kama Nyerere akiongelea maadui anaongelea umaskini, magonjwa na ujinga. Wengine wanakwambia maadui watakimbilia Kenya Maneno hayo hapo juu yanaonyesha aina ya kiongozi mwenye busara na sio kisasi,mtu akikuchallenge unamuita adui, utakuwa na maadui wangapi ,sidhani kama...
  4. M

    tunapong'ang'ania kutumia wastaafu ina maana nchi hii haina wasomi wengine.

    Nadhani Watanzania wenye mtizamo huu tunatafsiri kimakosa misemo toka kwenye maandiko matakatifu na methali mbalimbali , mfano aliyenacho ata........na asiyenacho......,Maji hufuata mkondo n,k.Pamoja na kwamba uzoefu wa wastaafu wetu tunauhitaji, naomba iwe inapobidi na sio kubadilisha madaraka...
  5. M

    Uwingi wa ajari na kutojua idadi ya abiria.

    Ni jambo la ajabu mpaka leo hii hatuwezi kutoa idadi kamili ya abiria wanapokuwa safarini kwenye vyombo vyetu vya usafiri.Tunahitaji kuangalia kwa hekima jambo hili hasa wamilki wa vyombo vya usafiri pamoja waliopewa dhamana ya kusimamia vyombo hivi waelewe masihara au uzembe juu ya suala hili...
  6. M

    Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

    Haaaaa! hii kali sasa
  7. M

    Interview Zimejaa Uonevu Na Upendeleo Mkubwa

    Kumekuwa na wimbi kubwa la kuwalazimisha watu kuajiriwa kwa kinyume na baadhi ya haki za binadamu. Kwa mfano mtu anaitwa kwenye interview halafu huko. Nadhani unatakiwa huu uwe wakati wa interiew zichunguzwe kama zinakidhi masharti ya kisheria hapa nchini. Kwamba interview inapofanyika basi...
  8. M

    Maafisa wetu wa misitu jipangeni upya

    Ni jambo jema sana kwa wataalamu wetu wanapokuwa wanaweka msisitizo juu ya kupanda miti ili kupunguza kasi ya uharibifu wa Misitu unaofanyika hapa nchini hasa kwenye Misitu yetu ya asili.Lakini msisistizo huu unakosa nguvu pale wataalamu wetu hawa wanaposisitza tupande miti ya aina mbalimbali...
  9. M

    CV ya KOVA!!

    Kova hana makosa ila yeye anatumika kama rubber stamp tu.Ulisha ona wapi mtu akabishana na Tv set yake !! anawekewa maneno mdomoni ya kusema, simply kuna mtu ana remote control inayomuongoza kamanda wenu kufanya maamuzi.Waweza kuta ana Elimu nzuri tu ya kawaida kulingana na wakati wake ,lakini...
  10. M

    KILIMO KWANZA, sera au kauli mbiu?

    For God's sake Tanzania hatujawa tayari katika kilimo kwanza.!Pye pyepye tuna nyingi mno, sera ya kilimo kwanza haizingatii kumwendeleza mwananchi wa kawaida bali mwenye uwezo, pia suala la kuhamasisha vijana washiriki kwenye kilimo kwanza ndo basi tena yaani serikali haina mpangop nao hata...
  11. M

    Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Watanzania wa leo si kama wa miaka ishirini iliyopita.Hii ni janja ya nyani kula hindi bichi.Serikali inatumia kila njia ili ku-legitimise the illegitimate.Kwa kuwa mmeshika mpini semeni vyovyote vile mtakavyo sisi wananchi ni mambumbumbu tutakubali tu!!
  12. M

    Wabunge wetu na hatima ya maendeleo ya wananchi

    Napata shida sana kutafakari jambo hili:Awali nilifikiri ubunge ni uwakilishi wa wananchi Bungeni, lakini sasa mbona waheshimiwa hawa wengi wao hawaonekani majimboni mwao saa ngapi wanapata hizi changamoto za majimboni mwao ili wakawasemee walalahoi hawa mjengoni? Halafu nikaona ubunge kama...
  13. M

    Wabunge wetu na hatima ya maendeleo ya wananchi

    Napata shida sana kutafakari jambo hili:Awali nilifikiri ubunge ni uwakilishi wa wananchi Bungeni, lakini sasa mbona waheshimiwa hawa wengi wao hawaonekani majimboni mwao saa ngapi wanapata hizi changamoto za majimboni mwao ili wakawasemee walalahoi hawa mjengoni? Halafu nikaona ubunge kama...
  14. M

    Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

    Oooh! This is simple:Neno Tanzania ni matokeo ya Tanganyika na Zanzibar.Na kwakuwa Zanzibar inawimbo wake wa Taifa je vivyo hivyo Kwanini Tanganyika wasiwe na wimbo wao?.U can not full all the people all the time.Kwani kuna dhambi kama Tanganyika ikirudi, irudisheni kama itaonekana ni dhambi...
  15. M

    vipindi vya ITV na mustakabali wa taifa la Tanzania!

    Kuwa biased? Mbona hili liko wazi, tena kuna kitu kinaitwa 'kipima joto' ambacho kinaendeshwa sio kitaalam ,mfano unatupatia asilimia ya matokeo bila kutuambia idadi ya watu waliopigia kura hoja hiyo. Statistically kuna idadi inayotakiwa kufikiwa ili matokeo yawe yanawakilisha jamii...
Back
Top Bottom