Recent content by Mukuu123

  1. Mukuu123

    Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

    Tuko kuchimba dawa saa hii
  2. Mukuu123

    Hivi ZBC wanapiga nyimbo za Gospel

    Upendo ni taasisi ya kidini brother ZBC ni channel ya umma huo ndio utofauti
  3. Mukuu123

    Hivi ZBC wanapiga nyimbo za Gospel

    Niko zangu home week ya tatu hii baada ya kuchukua likizo ,huwa napenda kujipumzisha home na family yangu ijapo kuwa hela ya kununua kisimbuzi imekua nongwa,sasa mara nyingi naangalia izi free channel ZBC ikiwa moja wapo jambo moja nimeliona sijawahi kuona nyimbo za gospel wala ibada hasa siku...
  4. Mukuu123

    Anachofanyiwa Makonda kwa sasa ndicho alichofanyiwa Lowassa enzi za uhai wake

    Hiv hawa vijana wenye uwezo huu wa kufikiri tunao mtaani kweli na uhakika mtoa mada ni form four failure
  5. Mukuu123

    Hii nchi bwana inafikirisha sana. Upi ni mpaka kati ya Serikali na Chama cha Siasa?

    Hivi kweli wa tz akili zetu zipo sawa sawa mimi mashaka nchi haiwezi endeshwa namna hii nahisi kuna kitu hakiko sawa kwenye vichwa vya wabongo
  6. Mukuu123

    Hii nchi bwana inafikirisha sana. Upi ni mpaka kati ya Serikali na Chama cha Siasa?

    Yani mtu siyo mtumishi wa umma na hana chochote kile serikalini lakini anatembea na msafara wa magari ya serikali na watu wamekaa kimya tuu. Kwa nguvu alionayo uyu bwana nahisi anaweza kwenda Lugalo pale akachukua kifaru halafu akaingia nayo road and nobody can question him, upi mpaka kati ya...
  7. Mukuu123

    Kusomesha watoto shule za private ni matumizi mabaya ya fedha

    Wengi mli opposite na mtoa mada naona wengi mnazungumzia mazingira tuu ya shule za gavoo kuwa mabaya lakin mmeshindwa kueleza ubora wa elimu wa shule hizi za private !je ubora wa elimu ya private uko tofauti na huu wa hawa wanachuo wanaotembea na vyeti barabarani wakilalamika ajira? Je elimu...
  8. Mukuu123

    Najiandaa kuondoka nyumbani, nimeamua kwenda kupanga. Je, kuna ushauri?

    Mbona bado mdogo 32yr ? Acha haraka ya maisha una kaa kaa home at least 45 ndo utoke home
  9. Mukuu123

    Je, vipofu huota ndoto?

    Kipofo yeye kwenye u mwili hana macho lakin kwenye spirit realms kipofu yeye ana macho kabisa Kwa mfano ni ivi wakati sisi tunaota huwa hatuoni image zetu au reflection za sura zetu tunachoota ni nafsi zetu ndio huwa zinapitia maisha ya ndotoni?swali je wewe ushawahi kuota sura yako kwenye ndoto...
  10. Mukuu123

    Biashara inataka moyo sana

    Wewe si unaleta nadharia zako za kwenye vitabu ,but ushawahi kufanya kila kitu Kwa usahihi na usione matunda,mimi kuna kipindi nilihisi kwenye biashara yangu labda watu wanaona giza tuu unafunga ofisi saa mbili asubuhi na kufunga saa tano hakuna prospect wala mteja aliyeingia dukani
  11. Mukuu123

    Biashara inataka moyo sana

    Mziki wa biashara uingie mwenyewe uuone ndio utajua ya kwamba hawa waliofanikiwa kwenye biashara walitumia njia gani it’s not easy possibility ya kuanguka kwenye biashara ni kubwa mnoo kuliko kufanikiwa,mimi na MBA but nahisi ni mweupe kabisa kwenye biashara za uku mtaani
  12. Mukuu123

    Biashara inataka moyo sana

    Na kitu kingine watu wengi biashara tunaanzisha Kwa mawazo yetu kichwani sasa na hii mitaji midogo downfall zikitokea biashara inakua kwenye risk ya kufilisika lakini ukiwa na familia ya watu wafanya biashara ni ngumu kupitia kwenye mashimo sababu waliotangulia washajua michoro yote ya biashara...
  13. Mukuu123

    Biashara inataka moyo sana

    Hapana mkuu but nimepata jibu Kwa nn watu wengi huwa wanajazana uko kutafuta majibu
Back
Top Bottom