Biashara inataka moyo sana

Mimi ni graduate nilipata kazi nikafanya kwa muda wa miaka kama saba hivi kupata mtaji then nikaamua kuanzisha biashara,unajua biashara kuanzisha si kazi ukiwa na mtaji,kazi ngumu kwenye biashara ni kuifanya iendelee kuwepo.

Sasa wakati biashara inaanza mara nyingi inaanza vizuri but ukifika muda unakuta mambo hayaendi kabisa number ya wateja wako basic unakuta ghafla hawapo na hakuna wateja wapya wanaoingia dukani kwako aisee hii kitu usiombe unafanya kila kitu unachoweza kufanya kwa usahihi alafu matokeo hupati apa ndio nikajua kwa nini watu wanaenda kwa waganga.

Mashekhe au kwa wachungaji ili kuweza kupata msaada, kuna kipindi biashara inakua ngumu mpaka unaona bora urudi kwenye mshahara wa laki tano kwa mwezi big up sana kwa wafanya biashara walioweza kukuza mitaji hii kitu siyo rahisi mazee
mtafute mkinga akupe kinga ya kujikinga na wajinga wa kuwakwaza wenzao{kama unaamini ktk ushirikina],,ngoma ikizidi kukaza tafuta chuo cha biblia usomee uchungaji upige ela za wajinga!!!
 
Mimi ni graduate nilipata kazi nikafanya kwa muda wa miaka kama saba hivi kupata mtaji then nikaamua kuanzisha biashara,unajua biashara kuanzisha si kazi ukiwa na mtaji,kazi ngumu kwenye biashara ni kuifanya iendelee kuwepo.

Sasa wakati biashara inaanza mara nyingi inaanza vizuri but ukifika muda unakuta mambo hayaendi kabisa number ya wateja wako basic unakuta ghafla hawapo na hakuna wateja wapya wanaoingia dukani kwako aisee hii kitu usiombe unafanya kila kitu unachoweza kufanya kwa usahihi alafu matokeo hupati apa ndio nikajua kwa nini watu wanaenda kwa waganga.

Mashekhe au kwa wachungaji ili kuweza kupata msaada, kuna kipindi biashara inakua ngumu mpaka unaona bora urudi kwenye mshahara wa laki tano kwa mwezi big up sana kwa wafanya biashara walioweza kukuza mitaji hii kitu siyo rahisi mazee
Biashara ni umiza kichwa ndomana sio kila mtu anapaswa kuwa ni mfanya biashara kwa sababu biashara inahitaji akili kubwa, biashara inahitaji ubadilike kulingana na mda,unauza vipodozi ukiona upepo umechange, unahamia hadi wea,hadi wea ikizingua una hamia kwenye baa baa nayo......sasa wewe unauza kanga miaka kumi,na biashara ilivyo kuna kile kipindi cha kushobokewa na wateja na kipindi cha kupotezewa hivyo jitahidi kipindi kile unashobokewa ubuni na miladi mingine ya kutililisha mifereji ili biashara hii ikiyumba yumba nyingine inaleta maokoto NB tuwe wajanja wa kuendana na wakati kwani kunakipindi wateja nao wanakupotezea,,,nachekaga tu na hawa wamaduka ya dawa anakaaa sehem miaka 5 afu ana hama,hapa dawa nikubadili mifumo tu,
 
Biashara ni umiza kichwa ndomana sio kila mtu anapaswa kuwa ni mfanya biashara kwa sababu biashara inahitaji akili kubwa, biashara inahitaji ubadilike kulingana na mda,unauza vipodozi ukiona upepo umechange, unahamia hadi wea,hadi wea ikizingua una hamia kwenye baa baa nayo......sasa wewe unauza kanga miaka kumi,na biashara ilivyo kuna kile kipindi cha kushobokewa na wateja na kipindi cha kupotezewa hivyo jitahidi kipindi kile unashobokewa ubuni na miladi mingine ya kutililisha mifereji ili biashara hii ikiyumba yumba nyingine inaleta maokoto NB tuwe wajanja wa kuendana na wakati kwani kunakipindi wateja nao wanakupotezea,,,nachekaga tu na hawa wamaduka ya dawa anakaaa sehem miaka 5 afu ana hama,hapa dawa nikubadili yani wewe kila siku UKO TRA kusajili biashara mpya inaweza ku saidia but siyo lazma
 
Biashara ni umiza kichwa ndomana sio kila mtu anapaswa kuwa ni mfanya biashara kwa sababu biashara inahitaji akili kubwa, biashara inahitaji ubadilike kulingana na mda,unauza vipodozi ukiona upepo umechange, unahamia hadi wea,hadi wea ikizingua una hamia kwenye baa baa nayo......sasa wewe unauza kanga miaka kumi,na biashara ilivyo kuna kile kipindi cha kushobokewa na wateja na kipindi cha kupotezewa hivyo jitahidi kipindi kile unashobokewa ubuni na miladi mingine ya kutililisha mifereji ili biashara hii ikiyumba yumba nyingine inaleta maokoto NB tuwe wajanja wa kuendana na wakati kwani kunakipindi wateja nao wanakupotezea,,,nachekaga tu na hawa wamaduka ya dawa anakaaa sehem miaka 5 afu ana hama,hapa dawa nikubadili mifumo tu,
Haya mawazo ya biashara ndogo ndogo ,ukitaka kuwa mfanya biashara mkubwa lazima ubobee kwenye biashara moja na kupitia hiyo biashara moja uwe nguli kwelikweli ufungue aina nyingine ,mfano mimi nimekuwa nguli kwenye BERBERSHOPS ninazo majiji yote Tanzania , baada ya hapo nikafungua cosmetics maana zina uhusiano na berbershop ,baada ya hapo nimefungua hardware najifunza nimeanza kuuza chuma na cement tu .
 
naweza amini biashara ngumu sana aisee.

mtu kkoo ana frem yenye mtaji 5mil,kodi kwa mwezi 500k,bado umeme,malipo ya msimamizi,nauli nk,ukikaa ukafikiria unaona kabisa kuna kitu hakiki wazi
We Acha Tu , au wale vijana wa makumbusho pale na vifremu vyao vya pango juu halafu unakuta anauza cover za simu tena unazihesabu kwa mikono ,halafu nje kapaki land cruiser Lexus
Hapo utabaki mdomo wazi
 
Kama umekwenda shule epuka mno kuanzisha biashara ambazo hata ambao hawajaenda shule wanaweza kufanya, ni lazima utakwama tu.
Biashara kama Genge la vyakula na mbogamboga, Mangi shop, Bar, maduka ya ujenzi, Mama niwekee, - hizi biashara achana nazo kabisa kama umekwenda shule.
Hizo unazozitaka unaweza ukashindwa mtaji.
 
Hapo inategemea na biashara yako na location uliyopo.
Mfano mie biashara yangu ya majeneza nimeweka office jirani na eneo la hospital halafu nna connection na madaktari na manesi wa hospitalini hapa ili wawe wananiunganishia wateja wapya kila siku na huwa wanahakikisha nauza kila siku maana kila anayeleta mteja ana percent yake
šŸ¤£šŸ˜¢
 
Tulia wewe ,hujui kitu
We unaona hizo biashara zimesimama unadhani hizo biashara ndio zinagenerate faida si ndio ?
Watu wanafanya mambo yao meusi pembeni hizo biashara ni changa la macho tu
Watu wanafanya utakatishaji pesa , ukwepaji kodi , Rushwa , kuuza bidhaa feki , kupunja na kufanya Magumashi kibao
Mfumo wa nchi hii ni wa ovyo mno
Hairuhusu private sector na ujasiriamali kuthrive ,kama unaona hizi ni stories anzisha biashara halafu ulete mrejesho hapa
Nimekuelewa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe si unaleta nadharia zako za kwenye vitabu ,but ushawahi kufanya kila kitu Kwa usahihi na usione matunda,mimi kuna kipindi nilihisi kwenye biashara yangu labda watu wanaona giza tuu unafunga ofisi saa mbili asubuhi na kufunga saa tano hakuna prospect wala mteja aliyeingia dukani
Yataka moyo, kweli biashara ni ngumu sana,tuwapongeze waliofanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeonja chungu na tamu ya biashara rangi zote nimeziona! Mpk nilipopigwa juju la maana tena na best nikapalalaiz upande mmoja docta ulienisaidia popote ulipo Mungu akubariki maana bila wewe kunisaidia na kupata matibabu sahihi ningekua kilema leo hii. Sikukoma nikaanza tena biashara safari hii nafanya tofauti ni kibabe tena nimepata connection ya chimbo la vifaa ni kuhesabu hela tu. Lakini Tanzania watu wake na biashara zake ni zaidi ya uyajuavyo.
Hongera Kwa kupambana ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom