Recent content by Mtuniwatu

  1. Mtuniwatu

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Big up mtunzi
  2. Mtuniwatu

    Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

    Deepond vipi umemuacha wapi
  3. Mtuniwatu

    Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

    Hii Ni dunia huru ya kibepari. Yaani hao jamaa wamekuwa wa kufunguliwa mabucha Kama Mia na Bei iwe 5k kwa kilo. Kila mtu huwa anapenda ubabe ili awe mtawala. Mfano wanasiasa wanatumia nyumbu wenzetu kuwalinda wao ili watunyonye wote na viongozi wa dini wanatumia uwoga wa wanadamu na kifo...
  4. Mtuniwatu

    Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Hapa ukikolezwa kuzidi hapo, tayari unaye familia na hela miradi unayo na labda tayari watoto wanajitegemea ,ukichanganya kuwa huwa anakufanyia mabaya ama anakuletea kero. Am sure huyo anayekukoleza akikuambia kuwa mie bana nahitaji nijiachie na wewe sitaki kumuona mmeo. Kama yule wa deepond...
  5. Mtuniwatu

    Shukrani kwa member aliyenisaidia

    Duu naomba nisiongee kitu Mana mitizamo yetu iko tofauti. Ila nashukuru kwa ushauri wako pia. Barikiwa nawewe nakuombea mazuri Kama ndio ndoto zako zitimie
  6. Mtuniwatu

    Shukrani kwa member aliyenisaidia

    Kiukweli nimefurahi mno Mana watoto walikosa protein jamani,ilikuwa wanakunywa uji wanalala. Hata kibarua Cha nguvu smt kinakosa ujue. Mnabakia mnashindia uji Tena nafaka Ni mahindi. Ina pain mno so hata mental development yao inakuwa sio nzuri.
  7. Mtuniwatu

    Shukrani kwa member aliyenisaidia

    Habarini wanajukwaa! Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa Tanzania. Kuna muda nilileta ama nilikuja hapa kuomba Msaada kwa mtu anayeweza kunisaidia kwa namna yoyote nipate kazi mkono uende kinywani. Nashukuru Kuna member mmoja alinisaidia na leo ndio siku nimepata malipo/mshahara...
  8. Mtuniwatu

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Bado ,naomba kueleweshwa ama wanamtega dogo ili aondoshwe pale Mana wanawake mna Mambo nyie
  9. Mtuniwatu

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Why Cathy alimuwakiwa Sam kule kanisani lakini
  10. Mtuniwatu

    Wanawake wazuri sana wanakuja kuangukia wasipotarajia

    Unabishia msuri bana acha ubishi. Sijakataa Kama mke Ila Kama demu wa kula kistarehe tu utakutana na demu fulani anao msururu mwanza mpaka Dar mkuu mwingine hata kuwajaza kwenye bajaji Ni ishu. Mbona Kama unataka ubishi. Sijakataa mke kweli kila mtu Ana uzuri wake Ila linapokuja demu wa kula...
  11. Mtuniwatu

    Usiende F.5 ili uwahi kupata ajira mapema zaidi. Nawasanua kama hivi

    Hawatanielewa mpaka kitaa kiwape elimu kwanza live in hard way
  12. Mtuniwatu

    Wanawake wazuri sana wanakuja kuangukia wasipotarajia

    Naona unataka ubishane na nature mkuu. Hebu bishana why objects are attracted towards Earth's center. Bishana why tunazaliwa na kufa ama why magnet inavuta chuma. So unafunga vioo kuwa hakuna watu wenye maumbo ama muonekano wa kuvutia watu. Sema nakuona umeshaamua kubishana ama kukataa...
  13. Mtuniwatu

    Kwa anayejua ufaulu unaohitajika Ilboru, Kisimiri au Tabora boys

    Ila mpe dogo hongera mno Yani mno. Passion Yake Ni Nini. Nimemuelewa na nimemkubali Ni fighter and hustler
  14. Mtuniwatu

    Kwa anayejua ufaulu unaohitajika Ilboru, Kisimiri au Tabora boys

    Yaani asubuhi mno Kama Anazo points tano kwa maana ya aac or bba
Back
Top Bottom