HELLO WAKUU
imekuwa kimya kingi sana, lakini ni sababu kichwa cha habari kinasema AUTOCOM , na sasa niliacha kazi huko kwa sasa Nafanya kazi na kampuni nyingi zaidi za kutoka japan nikiwa mwakilishi au presenter wao kwa hapa Tanzania
kwa sasa offisi zipo NHC HOUSE , SAMORA AVENUE GHOROFA YA 9...
Hello wakuu kwa sasa sipo autocom but nafanya nao kazi kama freelancer na offisi yangu ipo QUALITY Center, karibuni sana
Kuhusu utapeli yes ni kweli manager wetu alishiriki kutapeli baadhi ya wateja wetu, nikiwepo hata mimi manager alinitapeli pesa ya mteja wangu, but mhusika mkuu yupo katika...
hello wakuu, naam naomba nijibu kama ambavyo swali limekuja hapo,
kwanza kabisa kwa sasa sifanyi kazi autocom kwa almost miezi 2 sasa,
na ndio maana unaweza kuona post yangu ya mwisho ina muda mrefu kidogo,
kwa sasa nimejiingiza zaidi katika clearing , lakini yes bado niko katika industry...
mbona nyanya bei iko juu kwa sasa, kwa masoko ya dar es salaam , ile kreti ya mbao inaenda mpaka 40k, njoo mjini ongea na madalali , faster mzigo unatoka huo
*SPECIAL* *OFFER* NA AUTOCOM JAPAN !!!!
Offer |Leta mteja upate commision $100
Agiza Gari Japan|Upate bonge la discount!!!
Gharama Nafuu |Ubora wa juu. Gari Aina Zote.
Malipo Kwa Awamu Mbili Ndani Ya Siku 45.
================================
TOYOTA PREMIO |Year 2002
Mileage 42,000km...
SPECIAL OFFER
Offer |Leta mteja upate commision $100
Agiza Gari Japan|Upate bonge la discount!!!
Gharama Nafuu |Ubora wa juu.
Malipo Kwa Awamu Mbili Ndani Ya Siku 45.
==============================
TOYOTA RAUM |Year 2003
Transmission AT|Drive 2WD|Color WHITE
PS |PW AC|Door 5|Seat 5...
ni hivi , hii rush kwenye calculator ya tra ushuru wake ni mkubwa kiasi, also ni moja ya suv yenye cc ndogo zaidi, pia nyingi zzilianza kutoka mwaka 2006, hivo hata cif yake ipo juu kiasi, yes iko luxury pia, japo sio sana, , compare na alphard , hiokwanza ni old model....................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.