Recent content by Mrengo Hans

  1. M

    Jaji Francis Mutungi Leo ametembelea Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Ni mjanja Jaji Mutungi anaisoma serikali ijayo ilivyo chini ya chadema.
  2. M

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Hizi ni Harakati za ukombozi. Wewe endelea kuchangia mafuta ya mbio za mwenge wa ccm.
  3. M

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Bora hizi zitaleta ukombozi kuliko zile zinazoitwa za mboga ambazo ni za wahuni wachache.
  4. M

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Hawa watu 11,000 walioview hii thread maana yake wangekuwa wamechangia Tshs 1,000 tayari sadaka ya ukombozi ingefika Tsh 11,000,000. Hii sadaka ingetosha kufanya mikutano kumi mikubwa ya ukombozi.
  5. M

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Haya ndio mambo ya kujadili sio ACT.
  6. M

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Huu ni mkakati mzuri sana ukombozi 2015. Mpaka kieleweke.
  7. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Maigizo ya kinana na nape arusha.
  8. M

    Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    Alphonce Mawazo sasa hivi ni mwenyekiti wa cdm mkoa wa geita
  9. M

    Harusi ya James Ole Milya - Mei 03, 2014

    Mke wa milya ni gamba? Tangia ameoa milya amepoa kabisa.
Back
Top Bottom