Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

Tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kuwezesha kampeni zetu kwa nafasi ya Ubunge na madiwani, lengo ni kuhakikisha kanda yote ya kaskazini tunaleta ukombozi wa kweli na matumaini yaliyo potea kwa watanzania waishio huku.

Hivyo tumaomba uungane nasi katika kuikomboa tanzania,na kanda yetu ya kaskazini inayojumuisha mikoa ya ARUSHA KANYARA,TANGA NA KILIMANJARO,

TUNAOMBA MCHANGO WAKO, KWANI SAA YA UKOMBOZI NI SASA
attachment.php
 

Attachments

  • cdm.JPG
    cdm.JPG
    49.1 KB · Views: 1,054
tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kuwezesha kampeni zetu kwa nafasi ya ubunge na madiwani, lengo ni kuhakikisha kanda yote ya kaskazini tunaleta ukombozi wa kweli na matumaini yaliyo potea kwa watanzania waishio huku.

Hivyo tumaomba uungane nasi katika kuikomboa tanzania,na kanda yetu ya kaskazini inayojumuisha mikoa ya arusha kanyara,tanga na kilimanjaro,

tunaomba mchango wako, kwani saa ya ukombozi ni sasa
attachment.php
kanda ya ziwa mashariki mpo.
 
Moshi na Arusha kuna wachagga wengi kwa nini hawachangii chama? Wanataka makabila mengine wachange tu halafu wao watumie huu ni utapeli
 
CHADEMA banner kaskazini.jpg
Nimesoma kwenye gazeti la nipashe, chadema wanataka watu 100,000 wawachangie kila mwezi shilingi 1,000 kila mwezi ili wapate shilingi 100,000,000 milioni mia moja. Jamani humu tupo wana chadema zaidi ya 120,000 na waccm wachache
wanaoipenda chadema hebu tutume na viongozi wa chadema wa kanda watupe taarifa. cc: Amani golugwa - Mratibu wa kanda ya kaskazini.
 
.....

.....Asante Kamanda ...SASA TUNAINGIA ARUMERU MAGHARIBI ...wananchi jiandaeni kwa ukombozi !!!
 
Safi sana, nachangia sasa hivi na naomba na huku kwetu Rock City tufanye mambo ili haya mashetwani maccm yakafie mbele
 
Hawa watu 11,000 walioview hii thread maana yake wangekuwa wamechangia Tshs 1,000 tayari sadaka ya ukombozi ingefika Tsh 11,000,000. Hii sadaka ingetosha kufanya mikutano kumi mikubwa ya ukombozi.
 
Hii kanda naionea wivu sana haki ya nani , nawaagiza Mh Sugu na Mh Msigwa nendeni mkachukue mikakati hii muilete nyanda za juu kusini wiki ijayo , asanteni kwa kunisikiliza .
 
Back
Top Bottom