Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

Kwajili ya kukodi chopa au kwenda dubai? kama kwa malengo ya KIZALENDO inapendeza, lakin hapo kuambiwa imepatikana ngapi na imefanya nn futawazo.
 
.....

.....Litengenezwe bango kubwa stand ya Kilombero !!!


attachment.php



CC Kamanda G Lema
 
Fedha za Sabodo zimeliwa tena mnaanzisha njia nyingine ya kuwaibia watanzania , sasa tumechoka , nendeni mkawadanganye huko msituni hatutaki.

CHADEMA kila wakati michango lakini manufaa ya michango ni kuwanufaisha wachache sasa tumestuka tafuteni chaka jingine hapa hakuna nini wala nini ni wizi mtupu.

Dhamira njema husukuma mambo mema kutokea. Dhamira njema huungwa mkono na wote wenye nia njema. Dhamira njema husababisha mtu kutenda kwa ubunifu na udhati wenye kumaanisha bila kukata tamaa kwa yale yaliyo katika mipango kufikia uhalisia. Dhamira njema haizuiliwi. Dhamira njema ni wazo la Mungu na ndio mpango halisi wa Mungu.

CHADEMA Kanda ya Kaskazini ni dhamira yetu kushinda UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015.. Mwaka 2015, ni mwaka wa Kazi.. Tumedhamiria kushinda.. Hatutazuiliwa.. Hatutaki Fedha wala jambo lolote liwe kikwazo cha Dhamira hii njema ambayo Watanzania wanaisubiria ili 1 Novemba 2015 Watanzania wapate sherehe mpya ya Uhuru wa Tanzania..

Tunakuomba ICHANGIE CHADEMA KANDA YA KASKAZINI, ili tufikie dhamira hii. Changia kiasi chochote kuanzia Tshs 500, Tshs 1,000, Tshs 2,000, Tshs 5,000, Tshs 10,000 na kuendelea ambayo utaitoa kila MWEZI HADI KUFIKA OKTOBA 2015 au kila muda (WIKI MOJA au WIKI MBILI) ambao Dhamira yako njema ya kuchangia itakusukuma. Kwa wingi wetu tutaweza kufanya mambo makubwa kwa udhati wenye kumaanisha bila kukata tamaa.



Kwa uhakika, kila mchangiaji atapata fursa ya kujua kile alichochangia kimefanya nini na matokeo yake nini..

Asante kwa Sadaka yako ya Ukombozi....!!

9k=


Amani Golugwa
Katibu - CHADEMA KANDA YA KASKAZINI
golugwa@gmail.com
+255 784 343 275
Arusha.

www.chademakandakaskazini.blogspot.com


***************************************************************************************
Jinsi ya kuchangia Chadema Kanda ya Kaskazini
Kwa M-Pesa
1. Piga
*150*00#
2. Chagua Kipengele
4-Lipa kwa Mpesa
3. Chagua Namba
4
4. Ingiza namba ya kampuni
(213040)
5. Ingiza namba ya kumbukumbu
(KAS)
6. Ingiza kiasi
Tshs XXXX
7. Ingiza namba ya SIRI
XXXX
8. Bonyeza 1 kuhakiki
9. Utapokea ujumbe wa SMS Imethibitishwa kiasi
XXX.
imetumwa kwa PAYLINKSYSTEMLIMITED
kwenye akaunti namba KAS
Kwa maelezo zaidi piga 0759 282850 (Katibu wa Kanda)
 
Fedha za Sabodo zimeliwa tena mnaanzisha njia nyingine ya kuwaibia watanzania , sasa tumechoka , nendeni mkawadanganye huko msituni hatutaki.

CHADEMA kila wakati michango lakini manufaa ya michango ni kuwanufaisha wachache sasa tumestuka tafuteni chaka jingine hapa hakuna nini wala nini ni wizi mtupu.

Bora hizi zitaleta ukombozi kuliko zile zinazoitwa za mboga ambazo ni za wahuni wachache.
 
hiyo kitu ingekaa kitaifa ingekuwa vizuri sana kuliko hivyo mlivyoweka. na mwisho wa siku mkubali kukaguliwa matumizi ya hizo fedha kwa manufaa ya chama na umma

Kuchangia sio vibaya tatizo ni uwazi wa hiyo michango mnachanga mmepata sh? Na mmezitumiaje . Hata kanisan sadaka lazima itangqzwa imepatikan kias gan inatumikaje ni swala la msingi sana swala la kuchangisha wanachama miaka nenda rudi bila kuwaambia imepatikan kias gan , zimetumikaje huo ni wizi .kuna wAtu sijui wamelishwa kilayo na mbowe wao kama misukule tuuukuchangia ili hali wao wakienda field wanajilipa pa diem .nakumbuka jangwan pale tuli changia chama HELA ikafungwa kwenye turbali zikaondoka Amna mrejesho hadi leo .huu ni wizi
Naona na sasa mme weka na m pesa kabisa sijui nan signatory wake .. Wajinga ndo waliwao
 
Kila siku cdm inachangisha. Hizo niharakati gani za kuchangisha miaka 22 bado mnachangisha au mmepata poli munajenga nchi yenu?
 
Back
Top Bottom