Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

piga kazi vijana ila hzo pesa msisahau kujenga ofisi iliyo nzur na ya kisasa kila wiliya nami ntawapa wangu....
 
Ninasema,,nitatoa shilingi yangu kuchangia ukombozi na sitapokea hela ya fisadi kudhoofisha ukombozi.

Larusai
 
Mwongozo: nataka kuchanga ila ikifika hatua ya namba ya kumbukumbu mfano KAS au VIC simu hainipi erufi hizo badala yake inanipa namba. Mmoja akasema badilisha chip kwenda simu isiyo smart phone...lakini tatizo limeendelea. Tafadhari msaada.
 
Kwani pesa ya ruzuku inafanya kazi gani?tangu muanze kutuchangisha kwenye mikutano mbona hatujaambiwa matumizi??CDM mpo kibiashara zaidi..iyo jero c bora ninunue fungu la dagaa kuliko kuchangia wazandiki
 
Mwongozo: nataka kuchanga ila ikifika hatua ya namba ya kumbukumbu mfano KAS au VIC simu hainipi erufi hizo badala yake inanipa namba. Mmoja akasema badilisha chip kwenda simu isiyo smart phone...lakini tatizo limeendelea. Tafadhari msaada.

Mutakyamirwa.. Piga namba 0759 28 28 50 upate msaada wa maelekezo wa namna ya kuchangia iwapo umekwama. Asante kwa Sadaka yako ya Ukombozi.
 
Wajinga ndio waliwao, Mimi nimeshaichangia CHADEMA mara mbili lakini matumizi ya michango ile yanaishia kuwanufaisha Viongozi waandamizi wa CHADEMA huku mashina yao mikoani yakiwa katika hali mbali. Acheni wizi wa kijinga.

Tunaomba udhibitisho wa mchango wako iyo mara mbili na kama hauna naona unyamaze ivo ivo milele make hauko kwenye mstari walioko wazalendo wengine
 
Ninasema,,nitatoa shilingi yangu kuchangia ukombozi na sitapokea hela ya fisadi kudhoofisha ukombozi.
Larusai
 
piga kazi vijana ila hzo pesa msisahau kujenga ofisi iliyo nzur na ya kisasa kila wiliya nami ntawapa wangu....

Kamanda kipi tuanze nacho, kukomboa au ofisi nzuri!? tunahitaji kuwatumikia watanzania maana kama Ni ofisi nzuri basi CCM wanaofisi nzuri sana siyo wilaya tu mpaka Kata.....
 
Kwani pesa ya ruzuku inafanya kazi gani?tangu muanze kutuchangisha kwenye mikutano mbona hatujaambiwa matumizi??CDM mpo kibiashara zaidi..iyo jero c bora ninunue fungu la dagaa kuliko kuchangia wazandiki

je unataarifa kuwa Chadema wamesambaza pikipiki nchi nzima, je unajua kila kanda na gari kama aiyo magari? je uliwahi kujiuliza uchaguzi Wa mwaka 2010 tulitumia kiasi gani? zilitoka wapi? nani anawalipa wafanyakazi Wa taifa na kanda?....he unataarifa Chadema hukaguliwa na mkaguzi Wa serikali ambaye Ni CCM lakini hajaona dosari mpaka CCM wakaogopa kukaguliwa...
 
Dhamira njema husukuma mambo mema kutokea. Dhamira njema huungwa mkono na wote wenye nia njema. Dhamira njema husababisha mtu kutenda kwa ubunifu na udhati wenye kumaanisha bila kukata tamaa kwa yale yaliyo katika mipango kufikia uhalisia. Dhamira njema haizuiliwi. Dhamira njema ni wazo la Mungu na ndio mpango halisi wa Mungu.

CHADEMA Kanda ya Kaskazini ni dhamira yetu kushinda UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015.. Mwaka 2015, ni mwaka wa Kazi.. Tumedhamiria kushinda.. Hatutazuiliwa.. Hatutaki Fedha wala jambo lolote liwe kikwazo cha Dhamira hii njema ambayo Watanzania wanaisubiria ili 1 Novemba 2015 Watanzania wapate sherehe mpya ya Uhuru wa Tanzania..

Tunakuomba ICHANGIE CHADEMA KANDA YA KASKAZINI, ili tufikie dhamira hii. Changia kiasi chochote kuanzia Tshs 500, Tshs 1,000, Tshs 2,000, Tshs 5,000, Tshs 10,000 na kuendelea ambayo utaitoa kila MWEZI HADI KUFIKA OKTOBA 2015 au kila muda (WIKI MOJA au WIKI MBILI) ambao Dhamira yako njema ya kuchangia itakusukuma. Kwa wingi wetu tutaweza kufanya mambo makubwa kwa udhati wenye kumaanisha bila kukata tamaa.

Kwa uhakika, kila mchangiaji atapata fursa ya kujua kile alichochangia kimefanya nini na matokeo yake nini..

Asante kwa Sadaka yako ya Ukombozi....!!

9k=


Amani Golugwa
Katibu - CHADEMA KANDA YA KASKAZINI
golugwa@gmail.com
+255 784 343 275
Arusha.

www.chademakandakaskazini.blogspot.com


***************************************************************************************
Jinsi ya kuchangia Chadema Kanda ya Kaskazini
Kwa M-Pesa
1. Piga
*150*00#
2. Chagua Kipengele
4-Lipa kwa Mpesa
3. Chagua Namba
4
4. Ingiza namba ya kampuni
(213040)
5. Ingiza namba ya kumbukumbu
(KAS)
6. Ingiza kiasi
Tshs XXXX
7. Ingiza namba ya SIRI
XXXX
8. Bonyeza 1 kuhakiki
9. Utapokea ujumbe wa SMS Imethibitishwa kiasi
XXX.
imetumwa kwa PAYLINKSYSTEMLIMITED
kwenye akaunti namba KAS
Kwa maelezo zaidi piga 0759 282850 (Katibu wa Kanda)

Pamoja makamanda
 
Back
Top Bottom