Recent content by Mr George Francis

  1. Mr George Francis

    Kama ungekuwa wewe ungefanya nini?

    "Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani. Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya fumanizi. Sasa alichokifanya siku hiyo akamrudisha house girl wao kijijini, arafu yeye akaenda kulala...
  2. Mr George Francis

    Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

    Dear men, Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake. Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha. Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au...
  3. Mr George Francis

    Agnes Doris Liundi vs republic

    Watoto walizaa kabla ya kufunga ndoa.
  4. Mr George Francis

    Agnes Doris Liundi vs republic

    Watu huwa wanazaa kwanza kabla ya kufunga ndoa. Hata Nzuri Sana hii mkuu,ila Kuna sehemu umeniacha mtuhumiwa miaka miwili ya ndoa na wiki mbili aliwezaje kuwa na watoto wanne? Citation inaonesha kesi ya Rufani, Agnes alikata rufaa
  5. Mr George Francis

    Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

    Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe. Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
  6. Mr George Francis

    Mgawanyo wa mali za familia baada ya mume na mke kuachana [sehemu ya 2]

    MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 3 Mgawanyo wa mali kwa wanandoa sio lazima uwe 50%/50%. Kila mtu anastahili kupata kile kilicho haki yake kupata. Mwanandoa anapaswa kufahamu kwamba, •Mchango hasi katika ustawi wa familia, matumizi mabaya ya fedha za...
  7. Mr George Francis

    Mgawanyo wa mali za familia baada ya mume na mke kuachana [sehemu ya 2]

    MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 2 Mgawanyo wa mali za familia baada ya mume na mke kuachana unapaswa ufanyike kwa kuzingatia haki, ili kila mmoja apate kile anachostahili bila upendeleo. Katika kupima mchango au jitihada za mume au mke juu ya upatikanaji...
  8. Mr George Francis

    Mgawanyo wa mali za (wanandoa) familia

    MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 1 Kumekuwa na maswali mengi kuhusu mgawanyo wa mali za familia kwa wanandoa baada ya kuachana. Makala hii inajibu maswali yako unayojiuliza kila siku bila kupata majibu sahihi. Hii inahusu watu wote, wale waliofunga ndoa...
  9. Mr George Francis

    Siku 470 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi

    Based on true story my brother. 😭
  10. Mr George Francis

    Siku 470 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi

    Sehemu Ya III Hali ilikuwa mbaya sana. Nilikimbizwa hospitali nikiwa hoi bin taabani. Mke wangu alilia sana alijua kuwa sitaweza kupona. Kutokana na hali yangu, Daktari aliyekuwa akinipatia huduma alishauri nipimwe vipimo vyote ikiwemo vipimo vya HIV na hapo nilikubali. Sikuwa na hofu kabisa...
  11. Mr George Francis

    Siku 470 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi

    SIKU 470 NIKIWA NA HOFU YA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI. Sehemu Ya II Nikiwa nimekata tamaa ya kuishi kutokana na hofu ya kuambukizwa virusi vya UKIMWI, Nusrat alikuwa akinifariji kama sio yeye yule ambaye majibu yake yalikuwa ni HIV positive. Sikutaka kuendelea kumsikiliza, niliamua...
Back
Top Bottom