Recent content by Mpiganaji tz

  1. Mpiganaji tz

    M-bichwa ni nani redio one? Watangazaji wanasepa!!

    Nimeskia kuwa regina mwalekwa amesepa redio one na kwenda kule kwa yale majike yasiyojua kiswahili fasaha i mean kibonde, gadna etc!! Tena jana nikaona katumi ikimwonesha jamaa aitwae miladi akisepa kutoka redio hiyohiyo yaani redio moja eti anamkimbia m-bichwa! Akisema "regina nisubiri twende...
  2. Mpiganaji tz

    Nini tufanye kama JK atamteua e lowassa kuwa waziri mkuu?

    Lowasa si waziri mkuu mstafu wala hakujiuzuru bali alifukuzwa kazi na bunge.unapomtaja lowasa kumbuka kusema 'waziri mkuu aliyefukuzwa' sio aliyejiuzuru ok? Usiwe kimeo kama tbc1
  3. Mpiganaji tz

    Anne Semamba Makinda's Profile!

    msomi ni mwenye elimu ipi? we mtulutumbi vipi? labda useme wangemweka mtu msafi na mwenye msimamo ingekuwa vigumu kumkontroo, usiseme msomi kama ni usomi yeyote mwenye elimu ya juu ni msomi.anyway, mtulutumbi maana yake nini?
  4. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Vioja vyaanza rasmi Bungeni

    Namchukia ana makinda toka moyoni. Alikuwa na chuki mbaya dhidi ya hayati chacha wangwe, hivyo simfagilii hata kidogo. Alikuwa anamchukia wangwe kwa kiwango cha kutisha na alikuwa hampi mwanya aongee au aulize ama kufafanua jambo.i still hate this fuckin mom
  5. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf, mtikila yupo wapi?

    Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?
  6. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

    Nkoboiboi, umenipa faraja. Thanks alot! Tupo pamoja.mungu ibariki jf, mungu ibariki tz, mungu ibariki chadema, mungu azidi kuwabariki watz wote wenye mapenzi mema.
  7. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

    Thank u pierre! May the lord bless u. Sasa najisikia ahueni
  8. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

    Ukombozi gani!!!! Kama hujui ni ukombozi upi tunaongelea, we endelea kuuchapa usingizi kila jamii ndondocha kama wewe hawakosagi.
  9. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

    Sikujua kama mtaipokea negatively idea ya kufungua akaunti kwa ajili ya dr. Slaa!hakika sikuwa na lengo baya, kilichonisukuma kuleta wazo hili ni kutokana na watu kudai kuwa dr. Anaweza kuona kama vile alikosea kugombea urais kwani atakosa mshiko wa ubunge! Mimi nikaona kama ni mshiko si lazima...
  10. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Tufungue account maalumu kwa ajili ya dr. Slaa

    Account itamilikiwa na yeye mwenyewe yaani 'personal account'. Jukumu letu liwe kuichangia tu
  11. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Tufungue account maalumu kwa ajili ya dr. Slaa

    Njaa ni kitu kibaya yaweza kumfanya mtu uliyemwamini kwa siku nyingi akatenda jambo ambalo utashindwa kuliamini. Hebu fikiria mtu ameshinda urais znz na anafahamu kuwa kashinda lakini anaambiwa kuwa yeye ni mshindi wa pili na anaridhika huku akishangilia kitendo hicho kama zuzu! Je, wamepewa...
  12. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Vicky Kamata kuongea lugha moja na Sugu Mjengoni?

    Inabidi umuombe sugu radhi. Sugu ni mtu makini, mwanaharakati, na mtetezi wa haki. Iweje leo aongee lugha moja na vicky kamata ambaye si mwanaharakati bali ni mtu wa kujipendekeza na kujikomba kwa viongozi? Kumbuka vicky hana tofauti na ephaim kibonde. Pia nafasi ya vicky amepewa zawadi au hongo...
  13. Mpiganaji tz

    CCM Madarakani: Sababu za kuitoa, ugumu wake na mbinu mbadala za kuing'oa

    wana jf mwakifahamu kifaa cha baiskeli kiitwacho kota pin? Ukitaka kukiondoa kwenye baiskeli unakiondoaje? nimefanya utafiti kina ktk kipindi hiki nikabaini kweli watanzania hawaitaki ccm katukatu na sio siri wajinga wachache ndio walioipigia kura! Watu wengi wanajiuliza ni wapi hasa ccm...
  14. Mpiganaji tz

    Elections 2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

    sawa kabisa maandamano yaje, ccm imemwaga mboga wananchi kuanzia ijumaa tunamwaga ugali, mbwai mbwai bwana, tumechoka ala! nasisitiza: Ni bora nife nimesimama kuliko kuendelea kuishi huku nimepiga magoti.
  15. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Kweli tarime kiboko!

    wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine! msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema: 'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume...
Back
Top Bottom