M-bichwa ni nani redio one? Watangazaji wanasepa!!

Mpiganaji tz

Member
Jul 22, 2010
21
0
Nimeskia kuwa regina mwalekwa amesepa redio one na kwenda kule kwa yale majike yasiyojua kiswahili fasaha i mean kibonde, gadna etc!! Tena jana nikaona katumi ikimwonesha jamaa aitwae miladi akisepa kutoka redio hiyohiyo yaani redio moja eti anamkimbia m-bichwa! Akisema "regina nisubiri twende wote huko, redio nimemwachia m-bichwa"

m-bichwa ni nani pale radio one?
 
Yea. Wanamaanisha huyo huyo R.M
Hili jina lilianzishwa na kikundi cha Ze comedy kipindi kile walivyohama kutoka Eatv kwenda tbc1.
 
ni mambo ya maslahi na green pastures......no big deal mtu akihama as long as anatetea maslahi yake. hata hivyo this is a free market economy. The only this nataka kushauri ni kwa mmmiliki au mkurugenezi wa shrika atizame entry and exit factors kwa watumishi kwa lengo la kuboresha maslahi ya wafanyakazi na kutoa huduma bora kwa wateja!
 
Back
Top Bottom