Search results

  1. Mpiganaji tz

    M-bichwa ni nani redio one? Watangazaji wanasepa!!

    Nimeskia kuwa regina mwalekwa amesepa redio one na kwenda kule kwa yale majike yasiyojua kiswahili fasaha i mean kibonde, gadna etc!! Tena jana nikaona katumi ikimwonesha jamaa aitwae miladi akisepa kutoka redio hiyohiyo yaani redio moja eti anamkimbia m-bichwa! Akisema "regina nisubiri twende...
  2. Mpiganaji tz

    Nini tufanye kama JK atamteua e lowassa kuwa waziri mkuu?

    Lowasa si waziri mkuu mstafu wala hakujiuzuru bali alifukuzwa kazi na bunge.unapomtaja lowasa kumbuka kusema 'waziri mkuu aliyefukuzwa' sio aliyejiuzuru ok? Usiwe kimeo kama tbc1
  3. Mpiganaji tz

    Anne Semamba Makinda's Profile!

    msomi ni mwenye elimu ipi? we mtulutumbi vipi? labda useme wangemweka mtu msafi na mwenye msimamo ingekuwa vigumu kumkontroo, usiseme msomi kama ni usomi yeyote mwenye elimu ya juu ni msomi.anyway, mtulutumbi maana yake nini?
  4. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Vioja vyaanza rasmi Bungeni

    Namchukia ana makinda toka moyoni. Alikuwa na chuki mbaya dhidi ya hayati chacha wangwe, hivyo simfagilii hata kidogo. Alikuwa anamchukia wangwe kwa kiwango cha kutisha na alikuwa hampi mwanya aongee au aulize ama kufafanua jambo.i still hate this fuckin mom
  5. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf, mtikila yupo wapi?

    Nashindwa kuamini kama mch. Myikila yupo nchini kwasasa! Tangia uchaguzi hadi kuapishwa na sasa bunge kuanza mtikila asisikike kwa lolote?
  6. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

    Nkoboiboi, umenipa faraja. Thanks alot! Tupo pamoja.mungu ibariki jf, mungu ibariki tz, mungu ibariki chadema, mungu azidi kuwabariki watz wote wenye mapenzi mema.
  7. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

    Thank u pierre! May the lord bless u. Sasa najisikia ahueni
  8. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

    Ukombozi gani!!!! Kama hujui ni ukombozi upi tunaongelea, we endelea kuuchapa usingizi kila jamii ndondocha kama wewe hawakosagi.
  9. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

    Sikujua kama mtaipokea negatively idea ya kufungua akaunti kwa ajili ya dr. Slaa!hakika sikuwa na lengo baya, kilichonisukuma kuleta wazo hili ni kutokana na watu kudai kuwa dr. Anaweza kuona kama vile alikosea kugombea urais kwani atakosa mshiko wa ubunge! Mimi nikaona kama ni mshiko si lazima...
  10. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Tufungue account maalumu kwa ajili ya dr. Slaa

    Account itamilikiwa na yeye mwenyewe yaani 'personal account'. Jukumu letu liwe kuichangia tu
  11. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Tufungue account maalumu kwa ajili ya dr. Slaa

    Njaa ni kitu kibaya yaweza kumfanya mtu uliyemwamini kwa siku nyingi akatenda jambo ambalo utashindwa kuliamini. Hebu fikiria mtu ameshinda urais znz na anafahamu kuwa kashinda lakini anaambiwa kuwa yeye ni mshindi wa pili na anaridhika huku akishangilia kitendo hicho kama zuzu! Je, wamepewa...
  12. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Vicky Kamata kuongea lugha moja na Sugu Mjengoni?

    Inabidi umuombe sugu radhi. Sugu ni mtu makini, mwanaharakati, na mtetezi wa haki. Iweje leo aongee lugha moja na vicky kamata ambaye si mwanaharakati bali ni mtu wa kujipendekeza na kujikomba kwa viongozi? Kumbuka vicky hana tofauti na ephaim kibonde. Pia nafasi ya vicky amepewa zawadi au hongo...
  13. Mpiganaji tz

    CCM Madarakani: Sababu za kuitoa, ugumu wake na mbinu mbadala za kuing'oa

    wana jf mwakifahamu kifaa cha baiskeli kiitwacho kota pin? Ukitaka kukiondoa kwenye baiskeli unakiondoaje? nimefanya utafiti kina ktk kipindi hiki nikabaini kweli watanzania hawaitaki ccm katukatu na sio siri wajinga wachache ndio walioipigia kura! Watu wengi wanajiuliza ni wapi hasa ccm...
  14. Mpiganaji tz

    Elections 2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

    sawa kabisa maandamano yaje, ccm imemwaga mboga wananchi kuanzia ijumaa tunamwaga ugali, mbwai mbwai bwana, tumechoka ala! nasisitiza: Ni bora nife nimesimama kuliko kuendelea kuishi huku nimepiga magoti.
  15. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Kweli tarime kiboko!

    wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine! msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema: 'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume...
  16. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Blandes kachukua Karagwe

    nimepatwa na nini? najaribu kuanzisha topic lakini sioni option hiyo!! au kuna mkono wa mtu? hebu nisaidieni wana jf
  17. Mpiganaji tz

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    eti nini?! Mnaogopa machafuko? Kum**nina zenu!! Yaani tukae kimya haki zetu zinaporwa? hongera dr. Slaa kukataa matokeo ya kipuuzi haya. Kama noma na iwe noma. ni bora kufa nimesimama kuliko kuendelea kuishi huku nimepiga magoti. Kama vipi tuzame mstuni au mwasemaje wabongo?
  18. Mpiganaji tz

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    kama mimi unaniona sina akili, punguani kwa sababu namuunga mkono Jk, jee wazee wako waliokulea wenye msimamo kama wangu unawaonaje?JK TULIA IKULU, TUMIKIA TAIFA LETU,JENGA NCHI NA WAHUDUMIE WANANkama mimi unaniona sina akili, punguani kwa sababu namuunga mkono Jk, jee wazee wako waliokulea...
  19. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Slaa amtaka Shimbo kueleza zilikokwenda sh bil 155 za Meremeta

    JWTZ WANAMAANISHA NINI? HAKUNA HAJA YA WA TZ KUPIGA KURA AU...? KWANZA, JE HILI LILIKUWA TAMKO LA JWTZ AU LA SHIMBO? JWTZ AMBAO TUNAWAHESHIMU HIVI WANAWEZA KUCHIMBA WATU MKWARA WA KIPUUZI KIASI HIKI? NILIKUWA SIJUI KUWA SHIMBO NI KIMEO KAMA MAKAMBA! USWAHILINI MAKAMBA TWAMWITA msukule wa ccm...
  20. Mpiganaji tz

    Elections 2010 Tuajiri rais wa kigeni aikomboe tanzania

    TUAJIRI RAIS WA KIGENI AIKOMBOE TANZANIA Inashangaza kuona taifa letu likiendelea kudorola kiuchumi lakini hakuna anayejali! Nchi imeelemewa na mzigo wa viongozi wenye upeo duni wa kufikiri, wanafiki, wababe, mafisadi, na wabinafsi. Wanakumbatia mambo ya hovyohovyo ilimradi tu...
Back
Top Bottom