Recent content by mcheku

  1. M

    Mrejesho baada ya kudukua simu ya mpenzi wangu

    😂😂😂😂uliandika wosia kabisa au
  2. M

    Mpenzi aliye "busy" siku zote

    Hakuna mapenz hapo jipange upya
  3. M

    Nimeamua kujitoa muhanga kwa wife

    Jipange umridhishe
  4. M

    Nampenda mume wangu lakini haniridhishi tukiwa faragha

    Jitahidi wewe kuwa unamiliki mchezo atajiongeza tu
  5. M

    Michango ya harusi imekua migumu sana awamu hii ya 5

    Mwishoni mtapata michango tu
  6. M

    Mama, huyu ndio Samson

    Samson yupo sawa
  7. M

    Nimeamua kujitoa muhanga kwa wife

    Mchunguze Sana mwanamke anayekuchunguza,utakuwa anafanya mambo mabaya kukuzidi anahisi unafanya km anavyofanya jilipue tu mtenda akitendwa huona kaonewa
  8. M

    Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

    Daaah huo mbona mtihani mkubwa Sana,hebu jaribu kuacha kulima mwaka huu uone kitakachoendelea km na shamba hawataki kwenda unapotezaje nguvu ya kulisha mijitu mikubwa namna hiyo looh
  9. M

    Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

    Mmmmh sijui km utapata,muombe mungu akupe umtakae kwa masharti hayo huku hutampata
  10. M

    Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

    Pole mdada ndio ndoa zilivyo mkalishe chini muulize taratibu ulimuuliza kwa ukali ndio mana alikujibu vibaya,wanaume marijali ndio walivyo wanatamaa sana
Back
Top Bottom