Mama, huyu ndio Samson

Wadada wanaotaka kuolewa ni shida sana, bahati yake kamkuta huyo A mcha mungu ila ungekuwa bandidu Samson angebakiliwa mbali.
 
Samson aliingia katika matambulizi ya voda fasta kwa wakwe.
 
Mdada A naye alikuwa na haraka mno,amemkuta tu Samson muungwana,lakini asipokuwa makini na midume ya Dar inayoingia kwa gia ya kuoa atadanganywa sana.
 
Back
Top Bottom