Mkuu mshana jr habari yako. kwanza hongera kwa kuasisi thread kama hii ambayo inajenga...wewe ni mmoja wa watu wa kuigwa na ikiwa kama kila mmoja kutokana na utaalam wa taaluma yake akaamua kuanzisha kitu kama hiki basi tutafika mbali... big up mkuu...
Me nataka kuagiza garo la Toyota Rav4 2005...
Nashukuru Ulukolokwitanga nyamnini NCHAGWA JOSEPH measkron Escrowseal1 uvungu laki si pesa Slimhamim Tukundane kwa michango yenu. Lakini lazima tukubali mustakabali wa siasa zetu baadae ni mbaya. Ila cha kuzikitika watu hata hoja kama hizi ambazo zingeweka misingi ya watu kubadilika kifikra...
UTANGULIZI
Watu tunaotaka kuwaunga mkono katika mageuzi tunaanza kuwaogopa. Inasikitisha wachumia tumbo kuwa vinara wa siasa.
MADA
Ni ukweli usiopingika kwamba, siasa kwetu ni kuhubiri chuki na propaganda za uongo baada ya kuangalia ni jinsi gani tutashindanisha sera na utekelezaji wake ulivyo...
Oooh waoooh. U born again??? Mungu akufutie mabaya yote uliotenda na akufanye kama mtoto karuka mema na mafanikio kemkem hapo baadae. Naamini tumeandaliwa kasherehe tuje Kula cake. Happy birthday miss chagga and we love u much
I love miss chagga a lot. Actually it impress me when I read her comment. Napenda kwa jinsi anavyo comment. She real actress. Huwa napenda sana kusoma anvyoandika. miss chagga wewe Ndio queen wa comment humu jf mpaka natamani Siku nikuone. Love u dadaaa
Yeye ameombwa atoe andiko linalokataza Watu weusi kuoa wazungu basi. Kama hana la kuongea akahutubie sabatoni na si kwenye TV maana wengine tunataka kuangalia vipindi vya maana. Vipindi si kama wanaangalia wasabato akitaka hivyo aende kwenye matv ya dini yapo mengi tu.
Theoretically halipo lakini practically huwepo. Tazama humu JF, maongezi ya vijana, wengi watakuambia wanaotafuta wapenzi au wanapenda wasichana mizigo, weupe. Mkuu au we sio ugonjwa wako huo....
Ni kwa muda mrefu Sasa tumekuwa tukisoma wavulana wanahitaji girls humu JF. Hususan wamekuwa wakiweka vigezo maalum kama; mweupe, mwenye sabufa au kwa lugha nyingine sitting allowance, n.k.
Hivyo, imekuwa baadhi ya wasichana kukosa pa kuegemea au soko tunasema halifanyi vizuri yaani currency...
Jamani mmeambiwa polisi walishafahamishwa. Polisi huwa hawachukulii mchezo mambo ya msiba. Kwa hiyo lazima wamechunguza wakaona Hamna wa kumuhunganisha. Kitu gani mnataka. Msizushe habari mpya. Kama mnaona tatizo nendeni polisi mkaulize na si uzushi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.