Search results

  1. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu mshana jr habari yako. kwanza hongera kwa kuasisi thread kama hii ambayo inajenga...wewe ni mmoja wa watu wa kuigwa na ikiwa kama kila mmoja kutokana na utaalam wa taaluma yake akaamua kuanzisha kitu kama hiki basi tutafika mbali... big up mkuu... Me nataka kuagiza garo la Toyota Rav4 2005...
  2. M

    Vijana wa ACT-Tanzania, BAVICHA na UVCCM na mawazo yao duni katika Siasa

    Nashukuru Ulukolokwitanga nyamnini NCHAGWA JOSEPH measkron Escrowseal1 uvungu laki si pesa Slimhamim Tukundane kwa michango yenu. Lakini lazima tukubali mustakabali wa siasa zetu baadae ni mbaya. Ila cha kuzikitika watu hata hoja kama hizi ambazo zingeweka misingi ya watu kubadilika kifikra...
  3. M

    Vijana wa ACT-Tanzania, BAVICHA na UVCCM na mawazo yao duni katika Siasa

    UTANGULIZI Watu tunaotaka kuwaunga mkono katika mageuzi tunaanza kuwaogopa. Inasikitisha wachumia tumbo kuwa vinara wa siasa. MADA Ni ukweli usiopingika kwamba, siasa kwetu ni kuhubiri chuki na propaganda za uongo baada ya kuangalia ni jinsi gani tutashindanisha sera na utekelezaji wake ulivyo...
  4. M

    Happy birthday bestito miss chagga

    Oooh waoooh. U born again??? Mungu akufutie mabaya yote uliotenda na akufanye kama mtoto karuka mema na mafanikio kemkem hapo baadae. Naamini tumeandaliwa kasherehe tuje Kula cake. Happy birthday miss chagga and we love u much
  5. M

    Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

    I love miss chagga a lot. Actually it impress me when I read her comment. Napenda kwa jinsi anavyo comment. She real actress. Huwa napenda sana kusoma anvyoandika. miss chagga wewe Ndio queen wa comment humu jf mpaka natamani Siku nikuone. Love u dadaaa
  6. M

    Kumheshimu mume ni raha sana

    Mrembo naona umelielewa kweli somo. Sasa nitafute mimi
  7. M

    Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

    Yeye ameombwa atoe andiko linalokataza Watu weusi kuoa wazungu basi. Kama hana la kuongea akahutubie sabatoni na si kwenye TV maana wengine tunataka kuangalia vipindi vya maana. Vipindi si kama wanaangalia wasabato akitaka hivyo aende kwenye matv ya dini yapo mengi tu.
  8. M

    Wahuni watatembea sana na wapenzi wetu

    Nilikuwa nahisi tu kumbe kweli. Sasa we Ndio utanisaidi kunionesha nani anamla wife ili nimtafutie Vijana wamle. Usiponionesha nakukula wewe
  9. M

    Bahati kwa girls wa Kundi maalum

    Sorry mrembo, kupitiwa Tena
  10. M

    Bahati kwa girls wa Kundi maalum

    Theoretically halipo lakini practically huwepo. Tazama humu JF, maongezi ya vijana, wengi watakuambia wanaotafuta wapenzi au wanapenda wasichana mizigo, weupe. Mkuu au we sio ugonjwa wako huo....
  11. M

    Bahati kwa girls wa Kundi maalum

    Ni kwa muda mrefu Sasa tumekuwa tukisoma wavulana wanahitaji girls humu JF. Hususan wamekuwa wakiweka vigezo maalum kama; mweupe, mwenye sabufa au kwa lugha nyingine sitting allowance, n.k. Hivyo, imekuwa baadhi ya wasichana kukosa pa kuegemea au soko tunasema halifanyi vizuri yaani currency...
  12. M

    Natangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Vunjo

    Degree ya UDSM hiyo. Wamekuwa wanasiasa tu wa ccm. Serikali karibu yote ya ccm ni UDSM halafu inaaribu. Itabidi TCU ikachunguze credibility yake
  13. M

    Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

    Jamani mmeambiwa polisi walishafahamishwa. Polisi huwa hawachukulii mchezo mambo ya msiba. Kwa hiyo lazima wamechunguza wakaona Hamna wa kumuhunganisha. Kitu gani mnataka. Msizushe habari mpya. Kama mnaona tatizo nendeni polisi mkaulize na si uzushi
  14. M

    Je ni member gani humu ungetamani kumuona live?

    Jamaniii...... Itakuwa kiuongouongo tu
  15. M

    Je ni member gani humu ungetamani kumuona live?

    Hatamani kuniona mimi, Ndio basi tena
  16. M

    Je ni member gani humu ungetamani kumuona live?

    miss chaga ananifurahisha kweli. Angenitumia Hata Picha yake nimuone
  17. M

    Je ni member gani humu ungetamani kumuona live?

    Bahati hizo. Ningepata Mimi.....
  18. M

    Wanawake wanaovaa madira

    Wengine Sisi washabiki wa Neema ndogondogo maana kubwakubwa uvivu mwingi
Back
Top Bottom