Wajomba ndoa si lele mama, unapokua umeoa/olewa ujue kua ndoa inatengenezwa na tendo la ndoa(sex) bila hivyo inakua ndoano. Kila mwanandoa inatakiwa akate kiu ya ngono kwa mke/mme wake, hivyo inabidi mwanandoa uchakalike sio, la sivyo utaibiwa......
read attachment
kote balaa, haina haja ya kuulizana we uko kundi gani......kila mmoja anajijua yuko wapi, kwa kweli mi nipo kwenye ndoa... ila kwa kwa kweli kaukimwi kamekaa vibaya. MAANA HATA MAHUSIANO YASIYO NDOA, HUWA WANAZOEANA KONDOM HUTUPWA KULE...MBALI, KISHA NYAMANYAMA... HAPO NAPO INAKUAJE? WENYE NDOA...
siku hizi kampeni hazina rushwa kama mkataba aliyesaini JK unavyosema. Ole wake atakayepokea au kutoa rushwa. Mzee wa nyambiti endelea na mpango wako. tafuta nauli tu na vipaza sauti vya kuwapigia kelele wakazi wa nyambiti. Tena siku hizi kuna umeme, ila Kampeni zako zielekeze sana katika...
we Nee...ma... ya mtu inaibiwa hivihivi unatazama tu. KUMAAAAAA NISHA NINI? tena itakuletea matatizo na wewe kwani huyo shoga anayeibiwa akijua ulikua unajua atakuchukuliaje...? Njia rahisi tu ya kumwambia ukweli rafiki yako anayeibiwa. MTUMIE MTU AMBAYE HAMJUI AKAMPE TAARIFA AU ANDIKA BARUA...
HHHaaaaaaaaaahhh, pond boys.......... Nakumbuka mbali sana miaka kumi sasa tangu nitoke pale mahala, Nakumbuka baba wa taifa ameiaga dunia tukiwa pale, ililazimika tutembee kwa miguu toka pugu hadi karim jee mjini ili kumuenzi baba wa taifa ili lenye ufisadi mkubwa. Tuliondoka na mabango kibao...
we kijana shy, sijui nikupe pole au hongera? lakini jambo si baya sana maana unaijaza dunia. Ila nakushauri msiitoe hiyo mimba maana itakua sawa na mauaji. bila shaka wewe ni muislam na kulingana na dini hiyo kuoa mke wa pili ni ruhsa kwani ni suna. ila inabidi umueleze mkeo huo mpango haraka...
acha upumbavu wewe, hawa watunga sera na watoa maamuzi makubwa yahusio jamii lazima wahusishe jamii nzima. kuvunja jengo la kariakoo ni 'mambo ya ajabu!!' ule mpango wa kupunguza msongamano katikati ya jiji hautofanikiwa na tatizo litakua mara kumi na tano (15) ya hivi ilivyo proportion na idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.