Search results

  1. Masoud

    Sex according to pastor khathide (marriage satisfaction)

    Wajomba ndoa si lele mama, unapokua umeoa/olewa ujue kua ndoa inatengenezwa na tendo la ndoa(sex) bila hivyo inakua ndoano. Kila mwanandoa inatakiwa akate kiu ya ngono kwa mke/mme wake, hivyo inabidi mwanandoa uchakalike sio, la sivyo utaibiwa...... read attachment
  2. Masoud

    Mahusiano na UKIMWI.

    kote balaa, haina haja ya kuulizana we uko kundi gani......kila mmoja anajijua yuko wapi, kwa kweli mi nipo kwenye ndoa... ila kwa kwa kweli kaukimwi kamekaa vibaya. MAANA HATA MAHUSIANO YASIYO NDOA, HUWA WANAZOEANA KONDOM HUTUPWA KULE...MBALI, KISHA NYAMANYAMA... HAPO NAPO INAKUAJE? WENYE NDOA...
  3. Masoud

    Mwanasiasa maarufu Tanzania

    siku hizi kampeni hazina rushwa kama mkataba aliyesaini JK unavyosema. Ole wake atakayepokea au kutoa rushwa. Mzee wa nyambiti endelea na mpango wako. tafuta nauli tu na vipaza sauti vya kuwapigia kelele wakazi wa nyambiti. Tena siku hizi kuna umeme, ila Kampeni zako zielekeze sana katika...
  4. Masoud

    mpeni ushauri......ungekua wewe ungefanyaje?

    we Nee...ma... ya mtu inaibiwa hivihivi unatazama tu. KUMAAAAAA NISHA NINI? tena itakuletea matatizo na wewe kwani huyo shoga anayeibiwa akijua ulikua unajua atakuchukuliaje...? Njia rahisi tu ya kumwambia ukweli rafiki yako anayeibiwa. MTUMIE MTU AMBAYE HAMJUI AKAMPE TAARIFA AU ANDIKA BARUA...
  5. Masoud

    Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

    HHHaaaaaaaaaahhh, pond boys.......... Nakumbuka mbali sana miaka kumi sasa tangu nitoke pale mahala, Nakumbuka baba wa taifa ameiaga dunia tukiwa pale, ililazimika tutembee kwa miguu toka pugu hadi karim jee mjini ili kumuenzi baba wa taifa ili lenye ufisadi mkubwa. Tuliondoka na mabango kibao...
  6. Masoud

    Dawa ya wana ndoa kutumia vyema simu zao

    kUMAAAAAAAAAAAAAA..NISHA NINI?
  7. Masoud

    Dawa ya wana ndoa kutumia vyema simu zao

    hii inakua soooo sasa, lakini hakuna kitu kama hicho. hata aliyegundua mitandao akiobwa ushauri hawezi kukubali. hata OUR PRESIDENT...
  8. Masoud

    Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

    we kijana shy, sijui nikupe pole au hongera? lakini jambo si baya sana maana unaijaza dunia. Ila nakushauri msiitoe hiyo mimba maana itakua sawa na mauaji. bila shaka wewe ni muislam na kulingana na dini hiyo kuoa mke wa pili ni ruhsa kwani ni suna. ila inabidi umueleze mkeo huo mpango haraka...
  9. Masoud

    Demu wangu mpya anatema cheche

    we dada inaonekana ulisha kua na hii problem, maana ulivyo onyesha utaalam si haba au wewe ni mtabibu.
  10. Masoud

    Msichana akivaa hivi unamchukuliaje?

    Hii inaitwa karibu msosi, ila jiadhali na kipindupindu.
  11. Masoud

    Kuvunja soko la Kariakoo ni upumbavu kabisa...

    acha upumbavu wewe, hawa watunga sera na watoa maamuzi makubwa yahusio jamii lazima wahusishe jamii nzima. kuvunja jengo la kariakoo ni 'mambo ya ajabu!!' ule mpango wa kupunguza msongamano katikati ya jiji hautofanikiwa na tatizo litakua mara kumi na tano (15) ya hivi ilivyo proportion na idadi...
  12. Masoud

    Baba yangu mshirikina

    hapana mshirikina anapaswa kutolewa roho au kupatiwa mateso makali kama anavyofanya kwa wenzake. wewe unamtetea au unampenda aendelee kua baba yako?
Back
Top Bottom