Sex according to pastor khathide (marriage satisfaction)

Masoud

Member
Apr 16, 2010
14
0
Wajomba ndoa si lele mama, unapokua umeoa/olewa ujue kua ndoa inatengenezwa na tendo la ndoa(sex) bila hivyo inakua ndoano. Kila mwanandoa inatakiwa akate kiu ya ngono kwa mke/mme wake, hivyo inabidi mwanandoa uchakalike sio, la sivyo utaibiwa......

read attachment
 
Attachments

  • Sex according to Pastor Khathide.doc
    27 KB · Views: 882
Thankyou! It was so helpful...
Ni kweli kwamba; wengi wanaichukulia for granted... But it's so important!!!
 
HIyo Kali kweli... But really i hate that crap about if you don't send it to a certain number of people you will get into trouble...
 
Wajomba ndoa si lele mama, unapokua umeoa/olewa ujue kua ndoa inatengenezwa na tendo la ndoa(sex) bila hivyo inakua ndoano. Kila mwanandoa inatakiwa akate kiu ya ngono kwa mke/mme wake, hivyo inabidi mwanandoa uchakalike sio, la sivyo utaibiwa......

read attachment

Tendo la ndoa lieandane na upendo, heshima ya hali ya juu, unyenyekevu, kuchukuliana na mwenzako bila haya ukakazana natendo tu itakula kwako kaka.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom