Mwigulu, katika hotuba ya Bajeti kuu ya serikali, ukurasa wa 44, ulisema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Tulifahamu uliwapa kandarasi CCECC.
20/12/2022 serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa...
Waziri wa fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba, leo akifanya mazungumzo ya kimkakati na CloudsTV amesema hakuna siku mtanzania yeyote ataombwa mchango kulipa deni la Taifa.
Mwigulu Nchemba, anatajwa kuwa msomi wa uchumi labda haelewi au ana kiburi au dharau au anapotosha umma kwa makusudi kwa...
Ujenzi bwawa la Nyerere (JNHPP-MW2115) unagharimu Sh6.5 trilioni. CAG alipokwenda kukagua alikuta ujenzi umechelewa kwa 46.5%. Ujenzi ulitakiwa kukamilika June 2022, hadi sasa ujenzi upo 67%. Mkandarasi kalipwa (69.5%) fedha yake yote (Sh4.3 trilioni). Kuna mzozo wa Serikali na mkandarasi...
April 2021, Egypt, Mkuu wa Shirika la Reli la nchi hiyo ya kaskazini mwa Baraa Afrika, alijiuzulu baada ya kutokea ajali ya treni. Ajali hiyo iliyotokea jioni katika mji wa Banha katika mkoa wa Qalyubia, ikapelekea kuuawa watu wasiopungua 16 na kujeruhi wengine 98. Waziri wa Usafirishaji wa...
Matarajio ya watanzania wengi, haswa waliounganishwa katika gridi ya Taifa ilikuwa ni kusahau kabisa adha ya mgao wa umeme, Baada ya kujengwa kwa bomba la gesi kutoka Mtwara Dar es Salaam lililogharimu TZS 2.3 Trilioni. Lakini hadi sasa mgao wa umeme umekuwa mkali sana.
Mwaka 2015, Rais Jakaya...
Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo!
Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC.
Katika mfumo wa...
Ndugu Nape Nnauye, ACHENI kuwaghasi watanzania MASKINI. Gharama za kuweka VIBAO na NGUZO za anuani za MAKAZI zinapaswa kuwa za WIZARA ambayo wewe ndiye waziri hapo. Hizi porojo za kuwachangisha wananchi ELFU KUMI NA TATU zao ni sawa na UTAPELI. ACHA mara moja. Umetangatanga angani na CHOPA...
SINOHYDRO Corporation LTD wamepewa zabuni kujenga mradi wa mwendokadi BRT-3 Gongo la Mboto-Kariakoo (23.6km) kwa $148.1M na wamepewa zabuni hiyo bila ushindani (single source), wakati ujenzi wa BRT 2 (Gerezani -Mbagala) 20.3km wamejenga chini ya kiwango. Hawa wachina wameturoga?
Zingatia, huo...
Jumapili, 12/2/2017 Rais wa Tanzania wakati huo Dkt. John Magufuli alisema sababu ya kuteua mwanamke katika nafasi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kuwa wanawake wengi ni waaminifu katika suala la fedha.
Moja kati ya maagizo makubwa wakati anateuliwa Dkt. Anna Peter Makakala lilikuwa ni...
Mwigulu Nchemba, mmeingia makubaliano ya awali na kampuni ya China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (bila ushindani) yenye thamani ya Shs. 6,698,935,255,040.00 kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani.
Mkandarasi China...
Upatikanaji pembejeo
Teknolojia duni za Kilimo
Utekelezaji bajeti ya kilimo
Kilimo cha kutegemea Mvua
Ukosefu wa Huduma za Mikopo
Unafuu upatikanaji zana za kilimo
Uhaba wa mafunzo ya kilimo bora
Ukosefu wa masoko kwa shughuli za Kilimo
Malizeni hayo, ndiyo mwage sifa kwa Hussein Bashe kwamba...
Airbus Helicopters H225 ina horsepower 1,820, inatumia mafuta ya Jet-A1. Wastani inakunywa 540 us liquid gallons/hour=2,044.122 litres/hour. Gharama za kujaza pale JNIA ni US$3.612 (Shs. 8,390.87) per Gallon in USD. Zingatia 1 us liquid gallon=3.785 litres leo. Piga hesabu zako.
Hivyo kwa saa...
"JPM ALICHELEWA KUWA RAIS WETU"
Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonyesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa
Bado tulihitaji...
UVUMILIVU katika SIASA!
"Nimekwenda CCM mnaniona sijarudi na vietee, nimerudi na makovu na pengo la kupoteza jino langu" - Elia Michael
Vijana tujipe muda wa kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa katika siasa wakiwa upinzani. Siyo lazima kuhama vyama ili uwe mwanasiasa mahiri
Binadamu wanapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.