Martin Maranja Masese
Member
- Apr 24, 2011
- 29
- 542
Ndugu Nape Nnauye, ACHENI kuwaghasi watanzania MASKINI. Gharama za kuweka VIBAO na NGUZO za anuani za MAKAZI zinapaswa kuwa za WIZARA ambayo wewe ndiye waziri hapo. Hizi porojo za kuwachangisha wananchi ELFU KUMI NA TATU zao ni sawa na UTAPELI. ACHA mara moja. Umetangatanga angani na CHOPA ambayo kwa saa moja tu ilikuwa inatumia Shs. 5M (vipi kwa siku 30, ulitumia shilingi ngapi za umma?), hizo FEDHA ulizotumia hovyo kwa jina la ‘uhamisishaji’ tungeziweka katika nguzo na vibao. USITUSUMBUE. Hatuna fedha za michezo haramu. #MMM