Recent content by marefu

  1. M

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Tegete kiwango juu. Inapendeza sana.
  2. M

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Hawa Prison mbona wanatusumbua sana wakuu! Uturuki yetu haifanyi kazi?
  3. M

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Jamani, mbona matokeo ya yanga na prison vipi? Mbona sioni thread live? Au mechi haipo?
  4. M

    VIDEO: Mbowe-CHADEMA hatuna mgogoro.

    Imetulia wapi wewe! Anasema anatoa report ambayo siyo rasmi! Maana yake nini?
  5. M

    Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

    Kwani kafungwa ngapi?
  6. M

    Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

    Yanga yasawazisha
  7. M

    Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

    Wadau mbona kimya kingi? Mechi imeanza au bado. Je kuna link yoyote ya ku - access mechi? Leteni matokeo
  8. M

    Msaada tutani

    Jamani wadau wa elimu Tanzania. Naomba kama kuna mtu ana article yoyote inayoelezea "the history of music education in Tanzania" hebu anirushie hapa jamvini.
  9. M

    PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

    Hawa jamaa hawajui kumwaga sera za chama chao. Nadhani hawa kufuatilia democratic national convention huko USA. Wangejifunza mengi
  10. M

    Mramba azidi kumkandamiza Mkapa mahakamani

    Kauli ya amiri jeshi mkuu huwa inatekelezwa mara moja bila kuhoji. Na ukitaka kushinda kesi kama ilivyokuwa kwa mzee wa Italy basi wewe taja amiri jeshi mkuu
  11. M

    Madeni Shamte Kipande Akaimu Ukurugenzi mkuu TPA

    Hiyo ni nyepesi nyepesi, unahitaji uthibitisho wa nini?
  12. M

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Ama kweli demokrasia inazidi kuimarika, lakini enzi za mwalimu........
  13. M

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    Nimekusoma Kimbunga, ila hoja ya CDM kutekeleza sela za CCM sina uhakika. Mimi naona wanazikosoa kila kukicha badala ya kuzitekeleza
  14. M

    Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

    Taja gazeti gani! Mbona unatuzingua
Back
Top Bottom