VIDEO: Mbowe-CHADEMA hatuna mgogoro.

Nimemuelewa sana. Uzuri wa CDM ni kufanya maamuzi haraka na kwa kina na kutoa mrejesho kwa jamii
 
Dah!simu zetu nyngn hazina uwezo huo wa kufungua!nani wa kutumwagia text hapa?
 
sishangai haya ni maneno ya mdomoni. lakini moyoni ni tofauti kabisa. Tunaona wanavyowapa majina mabaya watu wa jamii fulani ili wapate kuwaua. tumeona zitto akishambuliwa kutokea kila kona na leo nimeona kwenye gazeti la mwananchi said arfi mbunge wa mpanda akisulubiwa na mpaka kufikia kutupa kadi kikaoni. mimi nawashangaa sijui wanafanya nini huko. wakiendelea yatawakuta. halafu eti mbowe anatuijilia na maneno yake ya kipuuzi hapa. wenye akili hawawezi poteza bite zao kudownload huo upuuzi.
 
No question on that, the hotuba is very clear, thanks for transparency.
Call whatever the name(mivutano,minyukano,mgongano na mgogoro) carries the same weight. Maswali hapa ni:
1: kwa nn viongozi wa wilaya ya karatu wamesimamishwa kazi (kwa muda)
2: Kwa nn uongozi umekabidhiwa kwa kamati kuu(CC) ya CDM?
3:Mabere na Safari wanachunguza nn? Hao n wanasheria waliobobea>
4:Hiyo ripoti kwenda kwa Cc na hatimaye kutolewa majibu mapema januari 2013 n ripoti ya nn?
management Conflict n kitu cha kawaida wala si udhaifu.
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa
CHADEMA tuna Saa Za JAMES BOND.....
HADI Magandwa Yetu Yana uwezo wa kurikodi
 
Inategemea definition yake ya mgogoro. Ndio maana form one wanafunzi hufundishwa zaidi defintions...
 
So what!2ambie alichosema c unajua cmu nyngn kufungua u tube ni ishu?
 
Mbowe is wrong; kinachoendelea sasa siyo tofauti ya mtazamo au misimamo au maoni; ni zaidi ya tofauti hizi kwani ingekuwa hivi watu wangeshawishiana kwa hoja na kumaliza.

Kuna chuki, kuna kisasi, kuna hasira, kuna ugomvi na ukiangalia sana kuna tofauti za kimaslahi ambazo zinasukuma makundi mbalimbali. Ingekuwa tofauti ya msimamo tu au mtazamo watu wasingejali sana kwani ni ya kawaida. Ni sawasawa na kujaribu kuona meli inazama na inaingiza maji na kusema ati ni suala la upepo tu na kwa vile ni baharini basi meli itayumba kidogo.

Well.. think about it...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom