Recent content by mapinno

  1. M

    Safari za Rais John Magufuli nje ya nchi tangu aingie madarakani 2015

    Alifanya safari Uganda kuhudhuria kuapishwa kwa Museveni
  2. M

    Tulivunja mahusiano na Israel, we gained nothing, then we lost all

    unachanganya mambo, jaribu kuwa na hoja za kisiasa kwenye hilo na sio kuhusisha ukatoliki kwani hauendani kwenye hilo
  3. M

    Tulivunja mahusiano na Israel, we gained nothing, then we lost all

    Uhusiano wa Tanzania na Israeli unauhusishaje na Ukatoliki? hili ni suala la kisiasa 100% na wala hakuna udini. Ni muhimu kujadili haya masuala kisiasa na pale unapohitaji ufahamu wadau watatoa maoni yao kulingana na hoja
  4. M

    System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

    kuna system inaweza kuwa juu ya wananchi au watu walioiweka? Suala la kuivuruga system ni kujidanganya kuwa kwa kuwepo madarakani unaweza kwenda kinyume na mapenzi ya watanzania alafu ukafanikiwa. New order, new country, new vision after 25th october
  5. M

    Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Udhalimu na ufedhuli kwenye siasa za Tanzania unafikia mwisho Octoba 25
  6. M

    Upepo wageuka tena, Juma Duni Haji kuwa Mgombea Mwenza wa Lowassa

    katika kuhakikisha dhana ya UKAWA inadumishwa nadhani hayo yanayofanyika yapo sawia, suala halikuwa lazima wote watoke cdm bali maridhiano yawepo kuhakikisha kuna dhana ya ushirikishwaji wa wadau muhimu
  7. M

    Pinda, Bilali na Sitta jipimeni wenyewe

    Utashi wa kisiasa umekosekana na ndipo haya tunayoyaona yameota mizizi sasa. Pamoja na CCM kuwa na watu wazuri ambao wangeweza kuwa hazina kiuongozi kwa nchi hii kwa kipindi kirefu kijacho, watawala wanaendesha nchi kwa fitina, kiujanjajanja, makundi, kifamilia na chuki na hapo ndipo jahazi...
  8. M

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Hili sio suala la siasa ni kwamba Pengo kachemka sana haiwezekani maamuzi yafanyike na taasisi alafu wewe uje kuyakana kwa sababu tu mawazo yako hayakukubalika. kiongozi mzuri ni yule ambaye anasikiliza hata pale ambapo hoja zake dhaifu hazikupenya kwenye kikao. (institutionalization). sababu ya...
  9. M

    Waziri Membe ashiriki msiba wa mama mzazi wa Dk. Hoseah

    Uwezo mdogo wa kufikiri pamoja na kushindwa kutumia akili katika kupembua mambo. Tanzania aihitaji kiongozi wa kwenda misibani. Zama hizo zimepita na mstokeo ya viongozi wenye upeo finyu ni kutopiga hatua kwenda mbele
  10. M

    Mkopo wa benki za Tanzania ni biashara au hisani?

    Changamoto kubwa kwa wakopaji wengi ni kukosa mpango madhubuti wa matumizi ya mkopo. Hili linatokana na kutoandaliwa kwa business plan pamoja na financial projections ambapo makisio ya mapato na matumizi unakuwa nayo hata kabla ya mkopo wenyewe. Laiti ukifanya hivi suala la kutoa takrima au...
  11. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Umepata kazi ofisi ipi? au wewe ni mfanyabishara unabadilishana eneo? au ni mkulima unabadilishana shamba?
  12. M

    Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

    "Waasisi wa taifa hili waliacha nchi moja serikali mbili lakini sasa kuna nchi mbili serikali mbili" walioachiwa walikuwa wapi yakitendeka haya? walioapa kuitetea katiba walifanya nini hadi haya yakatokea? wawakilishi wa wananchi walifanya nini baada ya kuona katiba inavunjwa au imevunjwa? kura...
  13. M

    Bomoabomoa kuanza barabara ya Mwenge-Morocco (Dar)

    Katika masuala ya maendeleo maamuzi mazito kama hayo hayakwepeki. la muhimu ni kuwa haki itendeke hivyo kwa kuwa fedha za kuwalipa zipo basi kazi iendelee kwa kasi zaidi
  14. M

    Hii ndo taarifa toka washington wakati ikiuza meli iliyozama jana

    Washington state sells 2 ferries to Tanzania The Kalama and the Skagit ferries tied up at Vallejo. Enlarge this photo STEVE PICKENS The Kalama and the Skagit ferries tied up at Vallejo. The state finally has sold two of its discarded passenger-only ferries, the Kalama and the Skagit, to the...
Back
Top Bottom