Kawambwa ana Matatizo ya Ufikiri, wao kama wizara ya elimu ndio wanaosababisha shule za serikali zionekane hazifai. kwa kiasi kikubwa wanafunzi wanaosoma shule za serikali hawana mazingira mazuri ya kusoma. Mfano walimu wengi wa shule za serikali wengi wao wana DIV III au DIV IV katika majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.