Wadau yamenikuta, chonde msaada wenu tafadhari

Dec 15, 2013
11
2
Mimi ni Mwl mwenye professional kama 3 iv na nimeajiriwa kama Mwl na kwa sasa nafundisha chaka moja hatari naomba msaada wenu kama nataka kufanya Categorization inakuwaje hapa maana halmashauri ambayo nipo ni fitina tupu mie nataka nibadilishe kazi nikiwa serikalini kwa kuomba hiyo categorization ila mwajiri wangu hajui izo professional zangu mbili yy anajua ya ualimu tu! nipen maujanja nijiongeze maana natia huruma sana.kama unaweza ​kufanya categorization bila kupitia DED

Fundi Umeme wa Grade One VETA

Undergraduate -Bacherol of Arts with Education(Political science and History)

Postgraduate-Master of Public Adminstration.

Wanajamvi nategemea msaada wenu

wenu mwl wa kijijini!!!
 
Baki huko huko utatoka tu
kama chaka sana lima utatoka tu wajameniiiii
 
omba kazi tanesco ule shavu., wanatoaga mara kwa mara. Zkitoka ambayo unafiti we omba kimya kimya hapo hata ded atakua haucki. Tena singida wametoa nafasi za kazi wanataka linesmen na lineswomen., elimu form 4 ama 6 chet cha veta ingia kwenye web yao utaona., kama unafiti omba na ukipata hutajuta.
 
unatakiwa ujue hapo halmashauri kuna nafasi za hiyo position ya kuwa recatergorize au halmashauri jirani maana lazima hafasi iwepo nina mfano wa mwalimu mwenzako alikuwa chaka ila alikuwa na postgraduate ya law school wakambadilisha kwa halmashauri nyingine ambako kulikuwa na nafasi
 
Asante Safety last bt nilitaka kujua categorization kama inawezekana kuomba utumishi/wizarani direct maana hii halmashauri wapo wazee conservative sana yaani ukitaka kujua A,B,C ya iyo kitu they just ignore you! yaani ni fitina tu sina Godfather wa kunisaidia zaidi ya mwazo yenu wadau! Asanten sana
ndimi mwl kijjini
 
una mudagani kazini.....?taratibu zote lazima zipitie halmashauri yako huwezi kuruka hapo
 
Ndugu nina miaka miwili kazini! dah sa apo nieleweshe kidogo unaandika barua utumishi/wizarani kuomba iyo categorization lakini ikipitia halmashauri kwa DEO na DED hao wanakusainia then unaituma mwenyewe au unaicha kwenye fail lako wao watume utumish/wizarani na utakuwa na uhakika gani kama wamefanya ivo au ni kuomba wanisainie halafu niitume mwenyewe? ebu ndugu niweke sawa nitumie logistic gani hebu nipe maujanja apo! c unajua nipo na wazee wa fitina inahitaji mbinu kidogo
 
check pmo
 
we mgonjwa wa kuajiriwa?kama una elimu si vyeti kajiajiri.

sawa! ndugu bt f u've somethin' in ur mind concern' issue ilikuwa poa uweke apa kusudi tujue procja ziko vip maana hili tatizo hata wengine linaweza likawa linawakabili, hapa ni sehemu ya kusaidiana mawazo! hata ivo nashukuru kwa challenge yako!
 
mimi nina certificate ya computer science ,advanced diploma ya accounts,postgraduate diploma ya economics,masters ya marketing ,nlikuwa nafanya kazi km assitant comp kwenye halmashauri x badae nliomba kazi tume ya ajira nkapata kazi wizara ya viwanda na biashara,nikafanya km miaka minne saiv nimepata kazi tena kupitia tume ya ajira kwenye institution Y,so sijawah fanyia cheti changu cha mba wala pgd,so usitegemee serikali utapata kazi kwa kutumia cheti cha masters msingi wako ww ni ualimu,vinginevo uombe kwenye mashirika ya umma.
 
Asante n dugu Kwa briefly info!
 
Back
Top Bottom