Recent content by M2flan

  1. M2flan

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    hizo za irnga bado zipo?
  2. M2flan

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    The legend chungulia Pm
  3. M2flan

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji23]atakuwa huyu
  4. M2flan

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jamaa anazo hadi za mikoani[emoji3]?
  5. M2flan

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu pia kuna ubishani wa kubadili hii ATF kuna wengine wanasema unatakiwa ubadili kila unapofanya Service ya Engine Oil na kuna wanaosema hii haitakiwi kubadilishwa labda kama utaona gari yako inachelewa kubadili Gear, Je kipi ni sahihi kwa upande ATF inafaa kubadilishwa kila service ?
  6. M2flan

    Hii sebene/Boringo inaitwaje ?

    [emoji23]dah asante sana mkuu nlikuwa napaya shida kuipata hii maana sijui jina la msanii wala wimbo.Nimeipata
  7. M2flan

    Gari yangu imepungua Performance

    Unda watsAp group bro , uwe unatoa elimu hiz .Safi
  8. M2flan

    Jinsi ya kufahamu ist with 4WD na isiyo na 4WD .

    Habari wakuu, nahitaji kununua hii gari Toyota(ist)nafahamu kuna za cc1200 na cc1400, lakin nimeambiwa niwe makini hiz za cc1400 nyingi ni zina option ya 4WD na baadhi hazina, so naomba msaada nitumie vigezo vipi kufahamu yenye 4WD na isiyo na 4WD maana nahitaji ya cc1400 isiyo na 4WD .
  9. M2flan

    iPhone 6 , Location IRINGA .

    .
Back
Top Bottom