Recent content by LUMBA

  1. L

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    hata mimi niliacha mpaka sasa ni mwaka na miezi kazaa,nilipoanza kuacha miezi miwili ya kwanza nilifanya mazoezi makali asubuhi na jioni na kweli ilikuwa inasaidia kuondoa ham ya kuvuta sigara kabisa pamoja nna tendo la ndoa baada ya miezi miwil ham iliondoka kabisa hata bila ya kufanya mazoezi...
  2. L

    MSAADA.updating galaxy tab 7.0 N plus wifi,16 GB

    wadau galaxy tab nilionayo yenye namba GT-P6201 ambayo inatumia firmware 3.2 android version,hili lilikuwa toleo maalum kwa German,sasa ninapotaka kui-update kies zake zinakuwa hazipo sasa swali langu ni hili je nikiifanyia rooting itakubali updates za GT-P6200 au GT-P6210 za galaxy tab aina...
  3. L

    Msaada wa-upgrade samsung gallaxy tab 7.0 plus

    poa kaka nitajaribu kufanya ivyo.
  4. L

    Msaada wa-upgrade samsung gallaxy tab 7.0 plus

    Kwa kifupi mimi sio mtundu wa haya mambo nahitaji msaada wa mtu au sahemu ambayo nitapeleka tablet yangu ili iwe updated.
  5. L

    Je, ndege ya Rais hairuhusiwi kupaki Dodoma?

    Sio kweli kuwa ndege ya rais haiwezi kupaki Dodoma kwanza faham kuwa ndege iliyokuja jana Dodoma na kwenda shinyanga ni tofaut. jana n F28 5H CCM na leo F50 5H TGF na ya leo inalala kwa ajili ya kumpeleka PM Arusha na kumrudisha Dom tena na kurudi Dar ikiwa Tupu lakini pia kuna ratiba nyingi...
  6. L

    Hivi ukifanya mapenzi mfululizo unapata madhara gani kiafya?

    kifanyio kitaota nywele chote mpaka kichwa
  7. L

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Ukiona manyoya kaliwa. Uzuri wa ndege manyoya Kalia unase.
  8. L

    Kiswahili Kwenye msiba Tarime:

    mwingine hapo msibani kwa mama rhoda akamuliza mtarime msara ajisaidie alipoonyeshwa akaenda akakuta wameandika wanaume akarudi kumuliza mtarime mbona kuna wa wanaume tu akajibiwa"nennda kakojoe nani kakwambia kuna mukojo wa kiume na mukojo wa kike acha kusumbua watu"
  9. L

    Kulia zaidi au kushoto.

    Nimejalibu kutafakali kiundani ila sijapata jibu aidha la kimaumbile au la kisayansi kwa nini viungo ambavyo viko pair ktk miili yetu haviko sawa ktk uwezo,kwa mfano wa mkono wakulia hauwezi kufanya kazi sawa na wa kushoto na hata mtu akiwa anatumia kushoto basi kulia utakuwa dhaifu...
  10. L

    utambulisho

    Halloooo pipo,naomba mnipokee mgeni wenu.
Back
Top Bottom