MSAADA.updating galaxy tab 7.0 N plus wifi,16 GB

LUMBA

Member
Apr 5, 2012
12
1
wadau galaxy tab nilionayo yenye namba GT-P6201 ambayo inatumia firmware 3.2 android version,hili lilikuwa toleo maalum kwa German,sasa ninapotaka kui-update kies zake zinakuwa hazipo sasa swali langu ni hili je nikiifanyia rooting itakubali updates za GT-P6200 au GT-P6210 za galaxy tab aina hiyo hiyo lakini tofauti ni model namba tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom