Recent content by lukatony

  1. lukatony

    Natafuta nyumba ya kupanga Tabora Mjini au apartment

    Msaada jamani, Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka. Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
  2. lukatony

    Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

    Yupo wapi siku hizi?Aliolewa maana mjomba alizaa naye mtoto mmoja
  3. lukatony

    Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

    Upo sahihi!Napinga ushoga ila daktari kaudharirisha udaktari!Uwazi c hitimisho la kuingiliwa!Watoe video tu waachane na mambo ya ramadhani liwe hitimisho mahali kokote duniani uwazi c hitimisho may be immediately wangekuta sperms!
  4. lukatony

    Prof. Lipumba: Ukiona Chama cha Upinzani kinamualika Mwenyekiti wa CCM kwenye vikao vyake ujue hao siyo Wapinzani tena!

    Ushaambiwa akili zako ndogo tangu ilipouliza swali la mabegi lakini bado hujitambuu
  5. lukatony

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Yap,hakuna kitu kama hicho ukishakufa,ukifa kila kiungo kimekuwa,hakuna tofauti na mzoga wa fisi
  6. lukatony

    Mliomkejeli Hayati Magufuli, Ziwa Victoria lilifunguliwa, Samaki wametoweka

    Mh!Uongo mtupu,Mhaya na samaki wapi na wapi!Visiwa vyote vya Muleba kama bunbile wamejaa wakerewe,wajita,wasukuma,kifupi wabaya hawajui samaki na hawajui kupika,wavivu wanasubiri ndizi na maharage,na kuuza kahawa na K,ndo maana ukienda hata Q bar,unapata K ya miatano
  7. lukatony

    Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

    Andika kiswahili! Kiingereza chako hakijasimama!Wewe umeenda shule lakin umeandika kingereza kwa mfumo wa kiswahili
  8. lukatony

    Nimempenda sister wa kanisa

    Unafeli wapi wewe,wale ni binadamu,tushawabandua wengi,ukimba Dua hakua hi ngo kwanza Wana Minato hatari na anaisikilizia mwisho,kiukweli ndo anakuwa ameuona ufalme was Mungu amin
  9. lukatony

    JamiiForums Usiku wa manane

    Namkula mtu muda huu, nipp Dar
  10. lukatony

    Msaada wa kimombo tutani

    Kama una tatizo la kindoa,chepuka ndo suluhisho
Back
Top Bottom