Nimempenda sister wa kanisa

Mwanadamu ni mtu huru mbele ya Mungu wake! Mungu hachukizwi na taratibu za mwanadamu zisizo na uovu!
 
Nimeeanza kuamini kwamba Dini ya uislamu ni ya haki na kweli. Miaka 1400 waliliona kwamba sio vizuri kukalisha wanawake na wana umme sehemu moja wakati wa ibada.
Mawazo ya binadamu hayana mipaka mkuu.

Kuna muda unafanya matendo yote ya ibadakwa sababu subconscious mind imeshakariri ibada yote inavyofanyika,lakini uhalisia unakuwa upo mbali Sana na ibada..unakuwa unawaza vitu vya kijinga Sana.
Ndiyo maana sisi 'wa-kristo' tunasema ibada ni rohoni siyo mwilini. Mwili huu wa nyama unatusnitch muda wote.
 
Nilikua rafiki bora sana kwao. Nilishiriki nao pamoja katika sala binafsi na funga. Sherehe na mambo ya kijamiii

Basi nawakika unatabia ambayo ukiwa popote inafaa kuigwa (hata kama uhuni upo ndani yako)
Mimi pia niliachia kwenye hatua ha kuingia seminar…ila nilikuwa mtumishi.. kuna tabia flan nashukuru niliipata pale kias hata nikitimba kwa watu nikiondoka wananimiss
 
Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae sit za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.
Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.
Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.
Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga.
Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
Unafeli wapi wewe,wale ni binadamu,tushawabandua wengi,ukimba Dua hakua hi ngo kwanza Wana Minato hatari na anaisikilizia mwisho,kiukweli ndo anakuwa ameuona ufalme was Mungu amin
 
Dere

Dereva mmoja alimfuata Sisiter Burundi kuja Shirika moja la Masisiter Kigoma, sasa safari ilikuwa ndefu kuchimba dawa kukawa kwingi kwa sister jamaa akawa anamzoom kwenye Side Mirror. Kila mara sister anaomba achimbe dawa mshikaji akajua sister Ana Nyege ndiyo maana ankojoa marakwa mara Jamaa akatupia ndoano kuomba mzigo asalaleee Sister alilia njia nzima huku anasali Salam Maria. Alipofika Kigoma sister akaenda mojakwa moja kuripoti jamani simtaki dereva siwezi rudi naye atanibaka. Jamaa akapigwa chini kazi ikaishia hapohapo.
 
815630717.jpg
 
Basi nawakika unatabia ambayo ukiwa popote inafaa kuigwa (hata kama uhuni upo ndani yako)
Mimi pia niliachia kwenye hatua ha kuingia seminar…ila nilikuwa mtumishi.. kuna tabia flan nashukuru niliipata pale kias hata nikitimba kwa watu nikiondoka wananimiss

Nakubali mkuu. Hatukupoteza vyote tulivyotumia muda wetu kuviishi
 
Unafeli wapi wewe,wale ni binadamu,tushawabandua wengi,ukimba Dua hakua hi ngo kwanza Wana Minato hatari na anaisikilizia mwisho,kiukweli ndo anakuwa ameuona ufalme was Mungu amin

hii njia unanipitisha ni sahihi ndugu?
 
Habari za Jumapili wapendwa..

Leo nimeenda kanisani kama kawaida yangu, ikabidi nikae sit za kati kati kabisa ya kanisa. Sasa sisters wa kanisa wawili wakaja wakaketi sit ya mbele yangu, Ibada ikaanza.
Sio kwamba nilikuwa sifatilizi ibada, lakini unaweza ukawa hata umesimama barabarani magari yanapita huyashangai. Ila kuna gari moja linaweza pita ukajikuta umeanza kulitazama hadi likatokomea.

Kwenye ibada kuna kusimama, kupiga magoti, na kukaa.
Yule sister bhana kwenye kukaa, anaangalia sehem anapoketi (kwenye dawati) anavuta nguo yake kwa heshima anaketi. (Mda huo akiwa anafanya hivyo hadi na kasura kake unakaona [nusu face] anapovuta nguo yake ili aketi)

Mh nikajikuta nimemtazama (Mungu asikunyime macho. Macho yanatazama vizuri na vibaya). Kizuri kisifie …yule sister bhana ni mzuri. Ni mzuri wote kwa muonekano hadi anavyo jishugulisha na ibada.

Kijana wa watu nikapotelewa na utulivu wa ibada, nikajikuta kila anaporudi kukaa, nikawa nayaruhusu macho yafurahie uzuri na ustaarabu wa yule sister.
Najua wanaume tukipendaga kitu kuanzia tunapo kiangalia huwa tuna tabia ya kukifikisha kwenye ubongo na ubongo kukipangilia kitu hicho kinastahili vipi, yani kama ni kiwanja tunaonaga hadi nyumba imekamilika na kuisha.

Ibada ikaendelea tukamaliza salama. Wakati natoka nje, sister naye akawa amefika zam yake akanifuata nyuma, tukatoka nje.
Wakati tunashuka ngazi za nje ya kanisa kuna mama gauni lake kilikuwa refu linaburuza chini, nikajikuta nimelikanyaga.
Ile naelekea kuanguka kwenda chini. Paap! Nikasikia mtu amenidaka mkono kuzuia nisianguke.
Kutazama nyuma ni sister.

Mama mwenye gauni refu: Samahani kijana poleh!

Mimi: Asante ….. Samahani mama.

Sister: Taratibu kijana poleh

Mimi: Asante sana Sister

Sister: Uwe na Amani.

Sister akaniachia mkono, nikageuka vizuri nimtazame huku nikimjibu Amen sister.

Yule sister ni mzuri nyie.
Sister akanyoosha mkono kuelekeza njia..haya twende 🫱

HIVI KUMPENDA SISTER NI DHAMBI?
Unapaswa kutuma barua ya posa Vatican.

Mimi mwenyekiti wa kamati
 
Back
Top Bottom