Recent content by Lady Unbreakable

  1. Lady Unbreakable

    kiwanja Kongowe ya kibaha

    bei ni milioni 14, umbali na barabara ni dakika 5 tu. maji yako karibu,umeme pia upo karibu.
  2. Lady Unbreakable

    chumba cha kupanga self contained

    habari zenu, nina shida ya chumba cha kupanga(self) maeneo ya mwenge,sinza,makumbusho,victoria,ubungo. kiwe na umeme na maji. bajeti yangu ni 100,000. NB: Kodi miezi sita. asante.
  3. Lady Unbreakable

    nimejifunza

    habari zenu wanajamii, mimi nilikuja hapa kuhusiana na kazi za IT na nilipewa maoni mengi tu nashukuru sana, ila kitu nilichojifunza ni kwamba tusichague kazi jamani.chonde chonde graduates wenzangu. Mimi nilipata kazi sehemu kama receptionist kwa kipindi cha nwezi mmoja tu, mshahara ulikua...
  4. Lady Unbreakable

    data entry

    habari zenu tena jamani, nina shida ya kujua mishahara ya mtu anaefanya kazi ya data entry. inarange wapi? msaada tafadhali
  5. Lady Unbreakable

    Ruge mutahaba atoa amri kwa wafanyakazi wake.. Hakuna kupiga bongo fleva leo..

    kasema hivyo baada yakuzungumzia ishu ya jide na clouds na kusema ina maamuzi yake na mfano ni leo hakuna kupiga nyimbo za bongo, kwamba clouds ina maamuzi binafsi bkoz ni redio binafsi so kutopiga nyimbo za jide ni maamuzi pia
  6. Lady Unbreakable

    Ruge wa Clouds yuko live kumjibu Jide

    Ruge ametunza mpka meseji.lol.ugomvi skylight band chanzo moja wapo huu ugomvi tununue pop corn na coca tutizame :coffee::coffee:
  7. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    Sema wewe kiazi, nikisema mimi muhogo nitaambiwa nina mizizi. Kwa kweli max zetu dunia ya leo ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sababu ya kujuana. MARA NYINGI, ITS ABOUT WHO YOU KNOW
  8. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    Its a typing error,my bad. I was writing this in a hurry.
  9. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    real talk.. asante sana
  10. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    asante sana mkuu
  11. Lady Unbreakable

    bei za kusoma MCITP

    habari zenu jamani, kwa anaefahamu bei ya kusoma hiyo koz hapo juu kwa hapa dar, anitajie bei. asanteni
  12. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    mlio na kazi jishikieni hapo hapo. sie tunaotafuta tunaona ugumu wake huku nje
  13. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    ahhh, tuendelee hivo hivo ila haya maagency me basiii
  14. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    asante ndugu yangu, shida tuu
  15. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written
Back
Top Bottom