habari zenu, nina shida ya chumba cha kupanga(self) maeneo ya mwenge,sinza,makumbusho,victoria,ubungo.
kiwe na umeme na maji.
bajeti yangu ni 100,000.
NB: Kodi miezi sita.
asante.
habari zenu wanajamii, mimi nilikuja hapa kuhusiana na kazi za IT na nilipewa maoni mengi tu nashukuru sana, ila kitu nilichojifunza ni kwamba tusichague kazi jamani.chonde chonde graduates wenzangu. Mimi nilipata kazi sehemu kama receptionist kwa kipindi cha nwezi mmoja tu, mshahara ulikua...
kasema hivyo baada yakuzungumzia ishu ya jide na clouds na kusema ina maamuzi yake na mfano ni leo hakuna kupiga nyimbo za bongo, kwamba clouds ina maamuzi binafsi bkoz ni redio binafsi so kutopiga nyimbo za jide ni maamuzi pia
Sema wewe kiazi, nikisema mimi muhogo nitaambiwa nina mizizi. Kwa kweli max zetu dunia ya leo ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sababu ya kujuana. MARA NYINGI, ITS ABOUT WHO YOU KNOW
Mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa au ni nini? Yaani sijui maana ya kusoma sasa, ukiwa fresh graduate bila expirience you are in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.