Hyo ni taasisi moja kwanza ujue hilo stanbic ni km branch ya standard charted kuhusu mishahara sijui ila ni moja kati ya banks wanalipa poa sana kuna jamaa yngu yupo huko anakula shavu hatari likizo huwa anaenda kutembea Dubai
Mwendo kasi unatumika kwa watu maalum kajamba nani wa kuiba million 4 kwa mwezi, lakin hawa mafisadi papa ni mwendo wa gavana halafu kimya kimya hakuna kutajana. Inanikumbusha ile ya kuwaomba warudishe hela
Wadau salamu, nilikuwa na uhitaji wa nyimbo za zamani za dansi enzi za beta musica, diamond wako kwny chati na dansi za sasa pamoja na za live perfomance yoyote aliyekuwa nazo azitupie humu tusambaziane upendo nyimbo yoyote ya band ya kibongo
mi nishawaona ni wezi tu hao watu, kwanza hata ofisi hawana wanajishikizashikiza tu, walinitumia kajiemail chao uandikaji wake tu nikajua hakuna kitu hapa mara upige simu sijui
Bila kuleta unazi na kukurupuka, kutaka kujua ukweli kuhusu hili swala ni kupitia response ya Makamba Jr tayari live bila chenga amekiri kumeet na huyo mtu na kukiri kuwepo na mawasiliano kati yake na dada yke sasa mtu unakujaje na kuanza kuropoka tu sijui Mange muongo uongo uko wap? Makamba...
kwahyo beef ni neno" kampa kampa kampa tena" kwan hao mawingu wana haki miliki ya hilo neno? Washapoteza mvuto na michezo yao mpk radio yao wakae kimya beef wanaitaka wao wazee wa kick , walitaka wenzao wasiajiriwe sehemu nyngne kwenye maslai zaidi
Wadau,
Nahitaji kazi ya kufundisha kwenye college part time kwenye nyanja za ict na business niko na experience na passion na kufundisha.
Mwenye uhitaji anipm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.