Search results

  1. kuku87

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wakuu mwenye wimbo wa Carola Kinasha 'Ni Pendo' anitumie
  2. kuku87

    Wapi wananunua laptop mbovu?

    Wadau nauza laptop zangu mbovu ziko mbili ni wapi wanakonunua laptop zilizoharibika? Kama kuna mdau humu anicheki PM
  3. kuku87

    Samsung A3 2016 sokoni

    Kwa kipato chako na uelewa sio mbaya
  4. kuku87

    Samsung A3 2016 sokoni

    Kama unaifahamu hii simu huku ni kunitukana
  5. kuku87

    Samsung A3 2016 sokoni

    Hiyo simu itakuwa huifahamu vzuri
  6. kuku87

    Samsung A3 2016 sokoni

    Samsung A3 2016 iko sokoni, hali nzuri 16 GB Bei 400,000 Mawasiliano 0652- 396431
  7. kuku87

    Hivi mishahara ya Stanbic Bank na Standard Chartered Bank ipoje?

    Hyo ni taasisi moja kwanza ujue hilo stanbic ni km branch ya standard charted kuhusu mishahara sijui ila ni moja kati ya banks wanalipa poa sana kuna jamaa yngu yupo huko anakula shavu hatari likizo huwa anaenda kutembea Dubai
  8. kuku87

    Magufuli: Kuna mtu alikuwa anahamisha kati ya Tsh milioni 7-8 kila dakika. Yuko mikono salama...

    Mwendo kasi unatumika kwa watu maalum kajamba nani wa kuiba million 4 kwa mwezi, lakin hawa mafisadi papa ni mwendo wa gavana halafu kimya kimya hakuna kutajana. Inanikumbusha ile ya kuwaomba warudishe hela
  9. kuku87

    Dansi za zamani na live perfomance

    Wadau salamu, nilikuwa na uhitaji wa nyimbo za zamani za dansi enzi za beta musica, diamond wako kwny chati na dansi za sasa pamoja na za live perfomance yoyote aliyekuwa nazo azitupie humu tusambaziane upendo nyimbo yoyote ya band ya kibongo
  10. kuku87

    Uhai Tanzania

    mi nishawaona ni wezi tu hao watu, kwanza hata ofisi hawana wanajishikizashikiza tu, walinitumia kajiemail chao uandikaji wake tu nikajua hakuna kitu hapa mara upige simu sijui
  11. kuku87

    Hakuna kilimo cha umwagiliaji,hakuna ajira,hakuna mvua za uhakika,unakamataje vijana wasio na kazi?

    wanashinda vibarazani wanapiga umbea wanasubiri jioni wakajiuze kwenye mabaa, wengine wanasubir kuhongwa na mabwana zao
  12. kuku87

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Bila kuleta unazi na kukurupuka, kutaka kujua ukweli kuhusu hili swala ni kupitia response ya Makamba Jr tayari live bila chenga amekiri kumeet na huyo mtu na kukiri kuwepo na mawasiliano kati yake na dada yke sasa mtu unakujaje na kuanza kuropoka tu sijui Mange muongo uongo uko wap? Makamba...
  13. kuku87

    Clouds FM na E FM katika bifu zito na la hatari

    kwahyo beef ni neno" kampa kampa kampa tena" kwan hao mawingu wana haki miliki ya hilo neno? Washapoteza mvuto na michezo yao mpk radio yao wakae kimya beef wanaitaka wao wazee wa kick , walitaka wenzao wasiajiriwe sehemu nyngne kwenye maslai zaidi
  14. kuku87

    Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

    Watu wanajidai washauri sasa mara cjui theory, uchunguzi ni uchunguzi tu uwe wa rushwa au wa kufumania msitake kutuletea theory zenu hapa
  15. kuku87

    College tutor part time available

    Wadau, Nahitaji kazi ya kufundisha kwenye college part time kwenye nyanja za ict na business niko na experience na passion na kufundisha. Mwenye uhitaji anipm
  16. kuku87

    Safi sana Konyagi, mmetuletea bidhaa zilizo bora, midomo haitanuka tena

    Yan hiii post imenchekesha hatar yan mtu anasherekea kuwa atakuwa anabeba abiria bila abiria kumshtukia
  17. kuku87

    How to behave when given a lift

    Wow very interesting
  18. kuku87

    Hatimaye almasi ya pinki ya Mwadui yauzwa bilioni 21 ($-10m) huko Ubelgiji

    Utasikia mkataba tulioingia nao haukuwa na hiki kipengele
  19. kuku87

    Prof. Lipumba na Lissu wakosoa uteuzi wa Prof. Muhongo

    Semboja, Mohamed Jumanne: "Sijawahi kuona Profesa muongo kama Muhongo" - Dr. Hamisi Kigwangalla
Back
Top Bottom