Nimefurai saaana na huu umoja wa wabunge wote baada ya nusu saa turejee bungeni lazima kuna kigogo ataishia na hii kamati haponi mtu kabisa. Kinana tumbo joto
Lembeli na hii taarifa itaondoka na vigogo lazima nia mateso makubwa yamefanyika ktk ile operesheni tokomeza ujangili jamani km hatupo tanzania hawa maccm ni manyama nn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.