Recent content by KISHINDO

  1. KISHINDO

    Gari ipi ya Toyota unaipenda sana?

    Nashukuru gari langu hukulisahau katika orodha yako Big up
  2. KISHINDO

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Ina hii nguruwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. KISHINDO

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Wewe ndo huna akili kabisaaaaaaaa. Ilaumu papuchi yako iliyokufanya ubadili jina la baba yako alokuzaa na kuanza kutumia jina la mmeo.
  4. KISHINDO

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Hapo NHIF ndo ilikosea????? Kama jina lako lilikosewa kwa kutokuwa makini usiilaumu NHIF walaumu waliolikosea. That's your stupidity not NHIF
  5. KISHINDO

    CCM Hata wakitoa Fomu 1000 hakuna wa kumshinda Rais Samia 2025

    Huijui Tz wewe. Subiri watoe hizo fomu ndo ujue utajua hujui!
  6. KISHINDO

    Dark days 17/03/20...

    So tutarajie bendera halfway [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  7. KISHINDO

    Naomba msaada kuhusu Kampala International University

    Tazizo picha zunqgoma ku-Upload, ungaelewa ukisemacho
  8. KISHINDO

    Naomba msaada kuhusu Kampala International University

    Kampala International University wana Campus 3 1. KIU Main Campus Ggaba road Uganda 2. KIU Western Campus Uganda pamoja na 3. KIU Tanzania Mimi naifahamu vizuri Main Campus maana ndipo ninaposoma kwa sasa. In short kwa Nchi ya Uganda (na kwa ranking za miaka ya 2021, 2022 na 2023 KIU ndo...
  9. KISHINDO

    Jacob Rombo ni nani? Historia yake kabla ya kuteuliwa kuwa DAS alikuwa anafanya nini?

    Kwa hiyo Kila aliyepata kazi mara ya kwanza... Kila anayeuguliwa... Kila aliyepata madhila ya kifamilia... Akafanye huo uhuni? Laki 2 kwa DAS ni tone la maji Baharini. Unaelewa mshahara wa DAS ni Shingapi? Unaelewa OC ya Ofisi anayopata DAS ni Shingapi kwa Mwezi? Unaelewa posho za vikao...
  10. KISHINDO

    Kigwangalla: Rafiki yangu aliyempinga sana hayati Magufuli sasa amkubali, aelekea Chato kuomba radhi kaburini na kuweka maua!

    Hakuna cha Umeme wala nini.... Kigwangala kashausoma upepo kwamba mwakani harudi Bungeni hivyo anatafuta attention toka kwa watu ili imsaidie japo kashachelewa. Nakumbuka ulimtukana sana Hayati Magufuli ambaye hakuwa na uwezo wa kujitetea, Magufuli ambaye alikupatia ulaji Maliasili na Utalii...
  11. KISHINDO

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Wakati nasoma hii story yako machozi yalikuwa yananilengalenga. Anyway, pole sana kwa tukio hilo. Sent from my V2207 using JamiiForums mobile app
  12. KISHINDO

    Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

    Kama ndivyo si wazike tu????? Au jeneza limejazwa mipesa yake ya reach at Monduli???!
  13. KISHINDO

    Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

    Nakumbuka aliwahi kusema haya yafuatayo:- 1. Kabla hajafa lazima awe Rais wa nchi hii 2. Aliahidi kutuletea mvua ya kutengeneza toka Thailand baada ya kufanya ziara huko.
Back
Top Bottom