Search results

  1. KISHINDO

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Ina hii nguruwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. KISHINDO

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Wewe ndo huna akili kabisaaaaaaaa. Ilaumu papuchi yako iliyokufanya ubadili jina la baba yako alokuzaa na kuanza kutumia jina la mmeo.
  3. KISHINDO

    NHIF huwezi katia bima wategemezi waliopo kisheria mfano mama akibadili jina

    Hapo NHIF ndo ilikosea????? Kama jina lako lilikosewa kwa kutokuwa makini usiilaumu NHIF walaumu waliolikosea. That's your stupidity not NHIF
  4. KISHINDO

    CCM Hata wakitoa Fomu 1000 hakuna wa kumshinda Rais Samia 2025

    Huijui Tz wewe. Subiri watoe hizo fomu ndo ujue utajua hujui!
  5. KISHINDO

    Dark days 17/03/20...

    So tutarajie bendera halfway [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  6. KISHINDO

    Naomba msaada kuhusu Kampala International University

    Tazizo picha zunqgoma ku-Upload, ungaelewa ukisemacho
  7. KISHINDO

    Naomba msaada kuhusu Kampala International University

    Kampala International University wana Campus 3 1. KIU Main Campus Ggaba road Uganda 2. KIU Western Campus Uganda pamoja na 3. KIU Tanzania Mimi naifahamu vizuri Main Campus maana ndipo ninaposoma kwa sasa. In short kwa Nchi ya Uganda (na kwa ranking za miaka ya 2021, 2022 na 2023 KIU ndo...
  8. KISHINDO

    Jacob Rombo ni nani? Historia yake kabla ya kuteuliwa kuwa DAS alikuwa anafanya nini?

    Kwa hiyo Kila aliyepata kazi mara ya kwanza... Kila anayeuguliwa... Kila aliyepata madhila ya kifamilia... Akafanye huo uhuni? Laki 2 kwa DAS ni tone la maji Baharini. Unaelewa mshahara wa DAS ni Shingapi? Unaelewa OC ya Ofisi anayopata DAS ni Shingapi kwa Mwezi? Unaelewa posho za vikao...
  9. KISHINDO

    Kigwangalla: Rafiki yangu aliyempinga sana hayati Magufuli sasa amkubali, aelekea Chato kuomba radhi kaburini na kuweka maua!

    Hakuna cha Umeme wala nini.... Kigwangala kashausoma upepo kwamba mwakani harudi Bungeni hivyo anatafuta attention toka kwa watu ili imsaidie japo kashachelewa. Nakumbuka ulimtukana sana Hayati Magufuli ambaye hakuwa na uwezo wa kujitetea, Magufuli ambaye alikupatia ulaji Maliasili na Utalii...
  10. KISHINDO

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Wakati nasoma hii story yako machozi yalikuwa yananilengalenga. Anyway, pole sana kwa tukio hilo. Sent from my V2207 using JamiiForums mobile app
  11. KISHINDO

    Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

    Kama ndivyo si wazike tu????? Au jeneza limejazwa mipesa yake ya reach at Monduli???!
  12. KISHINDO

    Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

    Nakumbuka aliwahi kusema haya yafuatayo:- 1. Kabla hajafa lazima awe Rais wa nchi hii 2. Aliahidi kutuletea mvua ya kutengeneza toka Thailand baada ya kufanya ziara huko.
  13. KISHINDO

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    Kumbe kuna wakati pesa hazina msaada wowote kwa Mwanadamu...... Hivi kweli Lowassa ni wa kufia Muhimbili???? Nakumbuka aliwahi kusema "sitakufa kabla sijawa Rais wa Tanzania" mwisho wa kunukuu!
  14. KISHINDO

    Pwani: Kisiju watu wanaswali kuliko kazi

    Ni akili tu za Kipumbavu za Miafrika inayotaka kuvuna pasipo kupanda. Nenda hapo Doha au Dubai uone Waarabu walivyo serious kubadili jangwa kuwa makimbilio.
  15. KISHINDO

    Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

    CHADEMA (Chagga Development Manifesto) Kama Mwenyekiti siyo Mchagga BAKI NA UTOPOLO WAKO
  16. KISHINDO

    Ni kweli alikuwa na ubaya, lakini na uzuri alikuwa nao

    Mmeanza kumkumbuka, mbona bado ni mapema sana??????
  17. KISHINDO

    Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

    Hapo ulipigwa changa la macho Mwanamke alikwambia ana miaka 30.... Ili kupata umri wake halisi Chukua 30 zidisha mara 3 gawia 2 utapata miaka 45.
Back
Top Bottom