Habarini ndugu wanaJF wajasiriamali;
Kuna sehemu nimeiona fursa ya biashara ya matunda na kiukweli nimeifanyia uchunguzi na kuona naweza kutokea hapo ningependa kufahamu yafuatayo kwa wazoefu wa biashara hii hasa katika mawazo;
1: Naweza kutumia frem (duka)kma sehm y kuuzia na inatakiwa iweje...
hii kitu unaeza kufnya ukwa balaah anA tu mdogo mdg matokeo utayaon yn ht mtu kma apnga kukudhuru unaeza muon kitk ndot am mawazo kuanzia mavaz hd sura n ukashangaaa anakuj iv ivo , hili n som ref m nilijifunza humu kisha nkpt muhind mmja muuza sambusa bt mmmh ni shida ana mihela balaah y...
Mimi ni mkulima hapa Dodoma sehem ninahitaji pikipik ya kuhimili milima na makorongo makubwa yenye mchanga kwa ajili y kutembelea mashamba yangu.
napendelea aina zufuatazo za pikpik
baja 250, kawasaki250, ama yamaha td
je hizi piki pik nazipataje za mtumba na zina range kwa bei gan
na kuna...
Mgahawa unalipa endapo utazingatia yafuatayo:
Sehemu: Sehm ambayo utawapata watu wa kula
Aina ya mgahawa: Kun ain nyingi ya migahwa mfano, kitafunio, chakula tu, am vyote ama kunamigahwa mingine ina kuanzia kahawa chai sup lunch n diner
kwa mtaji wako unaeza fanikiwa kiasi endap utafanya...
Niko mkoani Dodoma kama mjasiliamali wa kilimo ila kuna fursa mbili nimezichungulia.
1:Blue kopa: tani moja hap wanauza laki 1
2:Madini chuma(mawe haya yana naswa na sumaku)
Kwa yeyote ambay anafahamu soko la hizi bidhaa naomba mchango wako wa mawazo
Pia kma tunaweza fanya kaz pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.