Search results

  1. K

    Tazizo la Email Kwenye Nokia C3, Naomba msaada

    myb kuna sehm unakuwa ume login ! am jaribu ku ireset wek vitu vya muhim kweny memory am flash thn rest
  2. K

    Passport inachukua mda gani

    nina hitji passport naweza kuipata ndani ya week moja? na ni vitu gani muhimu vinaitajika n n shi ngapi #uhamiaji asante
  3. K

    Tovuti ya Jambo leo imevamiwa

    hatareee sana murah
  4. K

    Biashara ya matunda

    Unafanya biashara hii mkuu
  5. K

    Biashara ya matunda

    Habarini ndugu wanaJF wajasiriamali; Kuna sehemu nimeiona fursa ya biashara ya matunda na kiukweli nimeifanyia uchunguzi na kuona naweza kutokea hapo ningependa kufahamu yafuatayo kwa wazoefu wa biashara hii hasa katika mawazo; 1: Naweza kutumia frem (duka)kma sehm y kuuzia na inatakiwa iweje...
  6. K

    Mwanzo wa meditation

    hii kitu unaeza kufnya ukwa balaah anA tu mdogo mdg matokeo utayaon yn ht mtu kma apnga kukudhuru unaeza muon kitk ndot am mawazo kuanzia mavaz hd sura n ukashangaaa anakuj iv ivo , hili n som ref m nilijifunza humu kisha nkpt muhind mmja muuza sambusa bt mmmh ni shida ana mihela balaah y...
  7. K

    Nahitaji pikipiki used

    Mimi ni mkulima hapa Dodoma sehem ninahitaji pikipik ya kuhimili milima na makorongo makubwa yenye mchanga kwa ajili y kutembelea mashamba yangu. napendelea aina zufuatazo za pikpik baja 250, kawasaki250, ama yamaha td je hizi piki pik nazipataje za mtumba na zina range kwa bei gan na kuna...
  8. K

    Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    yakupitia doha inakuaje
  9. K

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Mgahawa unalipa endapo utazingatia yafuatayo: Sehemu: Sehm ambayo utawapata watu wa kula Aina ya mgahawa: Kun ain nyingi ya migahwa mfano, kitafunio, chakula tu, am vyote ama kunamigahwa mingine ina kuanzia kahawa chai sup lunch n diner kwa mtaji wako unaeza fanikiwa kiasi endap utafanya...
  10. K

    Madini chuma

    Niko mkoani Dodoma kama mjasiliamali wa kilimo ila kuna fursa mbili nimezichungulia. 1:Blue kopa: tani moja hap wanauza laki 1 2:Madini chuma(mawe haya yana naswa na sumaku) Kwa yeyote ambay anafahamu soko la hizi bidhaa naomba mchango wako wa mawazo Pia kma tunaweza fanya kaz pamoja...
  11. K

    madini chuma

    kuna eneo nipo hpa dodoma kuna madini chuma mengi tu (mawe yanayo naswa na sumaku) soko lake naweza kupata wapi asanteni
  12. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kuna dodoma mkuu kam una wish kuja wilay y kongwa
Back
Top Bottom