Recent content by kimbomba25

  1. K

    Pongezi kwa mawaziri wote; hakika wanachapa kazi

    Huu mwandiko wako naujua, usitake tuumbuane.
  2. K

    Pongezi kwa mawaziri wote; hakika wanachapa kazi

    Huyu atakuwa waziri anajipepelea kiaina. 😁
  3. K

    Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Wanaume wenzako huwa hatutongozi wafanyakazi wenzetu wala kuleta mapenzi sehemu za kazi. Hii ni torati.
  4. K

    Mawazo na ushauri wako vitanisaidia.

    Na pale alipoanza na mtaji wa 20,000 kisha akapanda chati kwa kasi ya 4G Chai.
  5. K

    Anaomba ushauri

    Calm down, hii ni chai tu. 😁
  6. K

    Tahadhari: Kwa hali ilivyo tusishangae kushuhudia kifo au vifo kwa wanagombania kupanda Mwendokasi

    Hadi sasa haieleweki majukumu ya askari wa kwenye Mwendokasi ni yapi. Huwa nawaona wanazubaa tu!
  7. K

    Uliyeoa/kuolewa: Je, unaweza kubadilishana simu na huyo mwenza wako japo kutwa moja tu?

    Vijana simu zao zimejaa ponografia na mambo ya zinaa, hazina mambo ya msingi wala mawasiliano ya maana ndiyo maana wanafikia kuwaza hivyo. Mtu mzima ambaye simu ni sehemu ya ofisi na majukumu ya kikazi, hawezi hata kufikiria upuuzi kama huu.
  8. K

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Kwenye kamusi hakuna neno husda. Husuda - husudu Husda - ?
  9. K

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Chaja ni kimemeshi.
  10. K

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Neno hilo limetoholewa kutoka kwenye neno la Kiingereza 'music', hivyo inakuwa muziki. Ukisema mziki, hiyo 'u' unakuwa umeitelekeza wapi?
  11. K

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Akili mnemba ama akili-unde (artificial intelligence)
  12. K

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Kwa nini unaitwa ulozi badala ya urozi?
  13. K

    Stori ya Kusisimua ya Boniface Jackob aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo

    Nahisi hajui kama 'amechoma'. Labda alidhani akiandika hivyo 'atasisimua' watu, kama ilivyo kwa muanzisha uzi.
  14. K

    Natafuta mke/Mkristo

    Jisimamie kama mwanaume. Vaa pendeza, nenda ibadani utakutana na mabinti wazuri wanaofaa kuoa. Katongoze unayemtaka. Huo ndiyo uanaume. Siyo kubweteka na kutaka KUTAFUTWA. Acha hizo.
Back
Top Bottom