Kwa nini unaitwa ulozi badala ya urozi?Sebule
Kuroga
hutaki 😌Tunafundishana..😅
Akili mnemba ama akili-unde (artificial intelligence)Sio akili bandia ni akili mnena
Sio chipsi ni vibanzi
Sio taiga ni simbamilia
Ndio mkuu!ephen unataka kusema husuda na husda yote ni sahihi..?
Sio kompyuta ni tarakilishiaisee Simbamilia tena...😂😂
hao wazee tuwastaafishe bhana!
Neno hilo limetoholewa kutoka kwenye neno la Kiingereza 'music', hivyo inakuwa muziki. Ukisema mziki, hiyo 'u' unakuwa umeitelekeza wapi?Muziki au Mziki Kati ya hayo mawili lipi ni neno sahihi..??
itakuwa vyema jibu likitoka na sababu
Chaja ni kimemeshi.Sio kompyuta ni tarakilishi
Sio juisi ni sharubati
Sio chaja ni kichagizijacho
Kwenye kamusi hakuna neno husda.Ndio mkuu!
Husda ni ugonjwa wa kua na wivu, mashekhe wana tiba yake
Husuda ni ule wivu kwa kifupi wivu=husuda
Kuonyesha = onya....Kuonesha=ona✅
Kuonyesha=nyesha❌
Kuonyesha ni sahihi ktk muktadha wa ONYOKuonesha=ona✅
Kuonyesha=nyesha❌