Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,420
- 14,598
Kuna classmate wangu tunaitanaga majina ya kimahaba akiwa na shida huwa namsave then baadae anarudisha. Siku hyo kidali changu kaniomba hela 15k amtumie mdogo wake yupo chuo nikamwambia sina, kasema anaomba simu angalie salio haniamini mi wakukosa 15k. Kwa kujiamini nikampa, Ghafla mesej imeingia hun asante nimeipata 100k luv u kwa sana. Sina mengi yakusema ila kila mtu alishika njia yake tumebaki maX tu saiv. Siku nikiwa hoi kitandani ndio kisimu changu nitampa mtu.