Recent content by kigori wa kilwa

  1. kigori wa kilwa

    Naomba msaada kwa hili

    Sijaelewa unanipa ushauri ganii? ? Huo ukimwi na mimba vinahusiana nini??? Sio lazima ucomment unaweza ukapiga makofi usongeeee
  2. kigori wa kilwa

    Naomba msaada kwa hili

    Habari wanajamvini... naomba msaada kwa hili ... hivi unaweza kujua unamimba ndani ya siku 13? Au nimewahi kupima?? Maana UPT unaniambia negative? Au nisubilie wiki ingine zaidi??? Naomba muongozo tafadharii
  3. kigori wa kilwa

    Wanapata wapi ujasiri wa kutuomba Hela?

    Sifaaa ya mwanaume ni kuhonga bana. ...... na sifa yetu ni kupokea
  4. kigori wa kilwa

    Wanapata wapi ujasiri wa kutuomba Hela?

    Yani mkitugawia pesa sisi ni kosa. ..tukiomba nje mnasema dharau ...mbona nyie hambebekiiii
  5. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    Kwa kweli misstrace... moyo bado upo kwake Ila saa nyingine naumia na hii tabia mpka basi nabaki Kununa tyy
  6. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    Inawezekana kweli bado ajapata mtima wake Ila kwenye mambo mengine mengine yupo perfect tatizo ni Ilo mawasialiano ... sasa najiuliza nimvumilie ??? Nikianza safari nyingine huyo nitakayempata atakuwa na mapungufu yap??? Maana tuna miaka miwili karibia
  7. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    Kuna kipindi simu yangu ilialibika akanipa simu yake ambayo alikuwa haitumii nahisi alisahau kufuta hiyo text Ndio nikaona malalamiko ya huyo Dada na sio kwamba nilifanya ufukunyukuuu...
  8. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    Yanii nimejikuta nacheka[emoji28][emoji28][emoji28]maana kusema kweli na mambo ya kiuchumi yameyumba balaa sasa sijui tatizo linazidi kwa sababu ya uchumiii????mbovu mfukoooni???
  9. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    Kuna kipindi nilimwambia kabisa mapenzi haya mie siyawezi akaniambia nimvumilie atabadilika taratibu na kuniomba msamaha .... nikimwambia tuachane yani neno ambalo hataki kulisikia kabisa
  10. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    Hapana ni mwanaume ambaye anapenda sana kuhudumia familia yake kwa kweli anajitaidi sana .... ila tatizo ni mawasiliano tu
  11. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    KwA kweli hata mie naona Ila sijui ndio kilema cheke hata ex wake naye alikuwa analalamika kama mie yani swala la simu kwake ni mtihani Ila ukiamua kumnunia basi anajilekebisha wiki moja halafu anaanza tena
  12. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    Happy Easter Jf Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ??? [emoji35][emoji35][emoji35] yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana...
  13. kigori wa kilwa

    Utamjuaje mwanamke mruka ukuta?

    Aaahh wanajifanya hawataki ujinga kumbe mademu zao Ndio wanatowa kwa kuwa hajui basi hawezi kujua kama mtoaji wa mkorosho ni demu wake[emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji9]
  14. kigori wa kilwa

    Kutembea na mume wa mtu

    Aaahhh na siye tumempenda jamani
  15. kigori wa kilwa

    Kijana yupo njia panda

    Kupanuliwa ni kawaida hata ww unapanuliwa Ila tunataka ushauri sio uboya wako
Back
Top Bottom