Kumekuwepo na ushinikizwaji wa kupatikana kwa Katiba mpya ambao umekuwa ukiendelea kufanywa na kundi kubwa la wanaharakati wakiongozwa na chama la wana CHADEMA huku chama cha mapinduzi (viongozi na Baadhi ya wanachama) wakionyesha kutokua tayari kwa kipindi kushiriki katika mchakato mzima wa...
Juzi katika nilikuwa naongea na Mkurugenzi wa halmashauri fulani akanambia maafisa utumishi wana roho mbaya sana hawapendi kuona watumishi mambo yao yanaenda poa
Hivi ni vituo vya walimu ambavyo vimekua vikitumika kuwasaidia walimu kuendana na wakati kwa kupitia matini mbalimbali, vimetumika kuwakutanisha walimu pamoja na kupeana uzoefu kusoma vitabu pamoja nk lakini kwa sasa vingi havitumiki na havina vitabu vinavyoendana na wakati.
Walimu wanafundisha...
Iko sehemu ambayo inakuruhusu kutuma bila kutambulika wewe ni nani, so unatupa bomu lako then unasepa unawaacha wanahangaika lkn upande wako umewapa ukweli
Unamuachia kama ni malalamiko pongezi nk then unapewa namba ya malalamiko yako kisha utafuatilia kupitia namba hiyo. Ni mfumo mzuri kama watakua wanarudisha feedback
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.